Mwenzetu Ben mwishoni mwa mwaka jana baada ya Noel alipata ajali ya gari huko India (New Delhi) na sasa anaendelea vema.
Leo amefanikiwa kuingia JF na kwakuwa kanifahamisha juu ya kilichomsibu ningependa kwa pamoja tushirikiane kumwombea afya njema na apone na kurejelea afya yake mapema iwezekanavyo.
Nyani ngabu mkuu siku nyingine tuanze na [elpo mengine yatakuja aiza unamjua humjui tuwaombee kwa mola kwanza).....wapate afya kama yako
kila la kheri na wote waliopata ajala wanaopata ajali na watakaopata ajali nawapa pole))