Tumwombee Ben Saanane

Tumwombee Ben Saanane

Pole sana Ben, Mungu akujalie upate nafuu haraka
 
Asanteni sana wakuu wangu.Naendedlea vizuri kabisa.Nashukuru sana kwa sala zenu.Mungu azidi kuwabariki katika kila jambo
 
Ben, we need you in one piece and well ... with no broken bones .. i mean .. please confirm this ... otherwise i wish you a quick recovery buddy
 
Ben pole, urudie kwenye hali yako ya afya njema. Karibu tena tuliendeleze libeneke.
 
hey Ben, pole sana. Mungu akujalie upone mapema. Michango yako ni muhimu sana hapa JF.
 
Nami naungana na members wenzangu katika kumtakia ahueni na afya njema mwenzetu, Ben. Ugua pole ndugu.

SteveD.
 
Back
Top Bottom