Sadock Kabuko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2013
- 1,166
- 1,075
Aondoke tu maana hamna namna
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hey! Mbona unaenda mbio na huna breki?Hapo kila MTU anayohaki ya kumchagua MTU anaemtaki,hakuna kitu kilinikera wakati Africa nzima wakihangaika kukimbia utawala wa kiimla wa issa hayatour wa cuf malinzi kwa upimbi wake alimpigia kura jamaa hafai hata kidogo,hapo uwanja wetu wa nyumbani kaitaba aliutia nyasi bandia,kwa blanda alizolifanyia taifa hili katika soka,hafai hata kidogo
malinzi ni jipuUbaya wa Malinzi umeanzia hapa...
![]()
Chezea katerero weee!
Lakini Kagera Sugar ni TAMBAZImalinzi ni jipu
ukisha jua kabila lake nini kitafuata?We mchaga au muhaya?
Bac kombe angepewa kagera sugarMim ni mhaya ila ukabila uhu siuungi mkono Malinzi ametubeba sana wahaya mpaka Tff tunaona haya
Wewe utakuwa Mhaya wa Chole sio wa Bukoba.Mim ni mhaya ila ukabila uhu siuungi mkono Malinzi ametubeba sana wahaya mpaka Tff tunaona haya
Mimi ni wa kutoka Chatto.We mchaga au muhaya?
Hao wamekatwa vichwa wamebaki na viwili viwili tuu.Malinzi sio kocha ni kiongozi wa mpira au mlitaka aingie uwanjani akarudishe magoli wanayofungwa magarasa yetu
Wanazunguka tuu mbuyu badala ya kusema ukweli mubashara.Ubaya wa Malinzi umeanzia hapa...
![]()
Chezea katerero weee!
muite kwa jina kongwe Bishanga ClassicJamal watu wamekuchoka piga chini
Umeona eeh? Shida ya Simba ni ya kisaikolojia zaidi.Wanazunguka tuu mbuyu badala ya kusema ukweli mubashara.
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app