Tumwondoe Jamal Malinzi TFF hapa

Soka la Tanzania mm hatasilielew kabisa,maana utaumiza kichwa kila siku,mm nashangilia timu za ulaya,uzalendo umenishinda.
 
Hapo kila MTU anayohaki ya kumchagua MTU anaemtaki,hakuna kitu kilinikera wakati Africa nzima wakihangaika kukimbia utawala wa kiimla wa issa hayatour wa cuf malinzi kwa upimbi wake alimpigia kura jamaa hafai hata kidogo,hapo uwanja wetu wa nyumbani kaitaba aliutia nyasi bandia,kwa blanda alizolifanyia taifa hili katika soka,hafai hata kidogo
 
Hey! Mbona unaenda mbio na huna breki?

Umesema kuwa KILA MTU ANAYO HAKI YA KUMCHAGUA ANAYEMTAKA., hapo hapo unamlaumu Malinzi kwa kutumia haki yake hiyo kumchagua Issa Hayatou? Mzima wewe? Au 2-1 bado zinakuvuruga kichwa?
 
Jamal kwel hafai lkn ktka walio jitokeza sijaona mwenye uafadhari
 
...hahahahaha..naunga mkono hoja,kazi kwenu wapiga kura...huyu si MTU WA MPIRA,hahahahaha
 
Wanazunguka tuu mbuyu badala ya kusema ukweli mubashara.

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Umeona eeh? Shida ya Simba ni ya kisaikolojia zaidi.

Mimi naamini, ukipigwa 2 uwanjani dawa yake ni kuongeza mazoezi na sio kukimbilia mezani. Kutoa mimba hakumrudidhii mwanamke usichana wake, atabakia tu kuwa mama wa marehemu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…