Wewe mwenyewe pia mpuuzi, una umiza vidole vyako kumtetea "Mpuuzi" mwenzako na kama alishafanya wajibu wake akae pembeni awpishe wengine wafanye wajibu wao.Wanjiru, hawa watu wapuuzi malinzi amefanya wajibu wake tena vya kutosha. Hizi ni porojo waache, atawapiga chini
Na pia toa vipimo vya hivyo unavyoviita maendeleo ya soka.
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Kama ulikuwa hujui Malinzi amepigiwa kampeni hapo JF,na yeye alikiri JF ilimsaidia akaanzisha thread watu wampe ushauri baadae akaingia mitiniHuyo ni zuzu kwa akili zake anadhani Malinzi ataondolewa kupitia hapa Jf kwa porojo zao
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Mpuuzi mama yako aliyezaa rubbish kama weweWewe mwenyewe pia mpuuzi, una umiza vidole vyako kumtetea "Mpuuzi" mwenzako na kama alishafanya wajibu wake akae pembeni awpishe wengine wafanye wajibu wao.
#Piga_Chini_Malinzi kwa uhai wa SOKA letu
#Piga_Chini_Malinzi kwa uhai wa SOKA letu
#Piga_Chini_Malinzi kwa uhai wa SOKA letu
#Piga_Chini_Malinzi kwa uhai wa SOKA letu
#Piga_Chini_Malinzi kwa uhai wa SOKA letu
Kumbe wewe ni takataka? JF iapiga kura, nonsense!kwa hiyo unataka kusemaje..? Hayo yote unayoyasema au yanayosemwa na Jf, hiyo Jf ina uwezo wa kutatua au kuamua..?
Jiongeze basi mkuu JF ina watu na watu ndio wenye kufanya maamuzi.
#Piga_Chini_Malinzi kwa uhai wa SOKA letu
#Piga_Chini_Malinzi kwa uhai wa SOKA letu
#Piga_Chini_Malinzi kwa uhai wa SOKA letu
#Piga_Chini_Malinzi kwa uhai wa SOKA letu
Usihangaike kujibizana na "takataka" za JF kwa kuwa hazipigi kura mkuu.Kumbe wewe ni takataka? JF iapiga kura, nonsense!
Usihangaike kujibizana na "takataka" za JF kwa kuwa hazipigi kura mkuu.
ungeendelea tu kufanya mambo mengine ya maana ingekuwa bora zaidi
#Piga_Chini_Malinzi kwa uhai wa SOKA letu
#Piga_Chini_Malinzi kwa uhai wa SOKA letu
#Piga_Chini_Malinzi kwa uhai wa SOKA letu
#Piga_Chini_Malinzi kwa uhai wa SOKA letu
#Piga_Chini_Malinzi kwa uhai wa SOKA letu
cc Jamal Malinzi
Rais wa awamu ya kwanza Mwalimu Julius Nyerere Baba wa taifa alipata kusema"anayesema ukabila ndiye MKABILA"Aondoke, ni mkabila. Hafai kuongoza TFF
Hata wewe ungekuwa mshindi ungesemaje labda?Kama ulikuwa hujui Malinzi amepigiwa kampeni hapo JF,na yeye alikiri JF ilimsaidia akaanzisha thread watu wampe ushauri baadae akaingia mitini
Haya nitajie mazuri yake kabla sijanza kukujibu moja baada ya jingine.Haya ni madudu machache ambayo yametokea tangu Malinzi aingie TFF
1.Matatizo kwenye usajili wa vilabu
2.Upangaji wa matokeo
3.Ubadhirifu wa fedha za TFF (report za ukaguzi za wadhamini)
4.Matokeo mabovu ya timu za Taifa
5.Kuteua viongozi/kuajiri wafanyakazi kwa kipaumbele cha ukabila
6.Uteuzi mbovu wa makocha
7.Kuwafungia wote waliokuwa wanamkosoa (Dr Ndumbaro)
8.Hamasa ya Watanzania kushangilia timu za Taifa imeshuka sana
I call a spade a spade...Not a big spoon.Rais wa awamu ya kwanza Mwalimu Julius Nyerere Baba wa taifa alipata kusema"anayesema ukabila ndiye MKABILA"
Tusubiri kampeni zianze atupe ripoti ya utendaji wake tumhukumu. vinginevyo tunamuonea.