Amekwambia kachoka?Jamali Malinzi apumzike waingie wengine............
Hebu muulize si upo karibu nae hapo...........
Wewe unaesema atoke ndio unatakiwa utuambie sababu zipi za yeye kutoka.Hebu muulize si upo karibu nae hapo...........
Watanzania hawajaona ukuaji wa soka la bongo toka aingie...zaidi....zaidi ni ubabaishaji....Wewe unaesema atoke ndio unatakiwa utuambie sababu zipi za yeye kutoka.
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Ukuaji gani huo ambao ulikuwepo kabla yake halafu uje kulinganisha na yeye aliyoyafanya?Watanzania hawajaona ukuaji wa soka la bongo toka aingie...zaidi....zaidi ni ubabaishaji....
Matokeo yakitoka mje hapa hapa msikimbie.Malinzi alishajitabiria kuondoka ndio maana akaenda kujishikiza chama cha soka Kagera.
Hapo tayari ana kura mbili,yake binafsi kama mgombea na ya chama cha kagera.Malinzi alishajitabiria kuondoka ndio maana akaenda kujishikiza chama cha soka Kagera.
uking'ang'ania kama luba tunakubandua......isije kuwa ndo wewe lazima ubanduliwe....Ukuaji gani huo ambao ulikuwepo kabla yake halafu uje kulinganisha na yeye aliyoyafanya?
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Huyo mbunge wa Mtama hafai mpaka kesho,Watanzania sis tumejawa na chuki..... hata mbunge wa mtama tulimuona hafai ndan ya masaa machache akawa shujaa wetu, binafs nina iman na JAMAL MALINZI....mko wapi mliowah kusema Tenga hafai? kila kitu hakifai kwenu, tujifunze kuappreciate kwa mazuri
sijaona la maana
Huyo mbunge wa Mtama hafai mpaka kesho,
Weka mazuri hayo ya Malinzi tua-appriciate
#Piga_Chini_Malinzi kwa uhai wa SOKA letu
#Piga_Chini_Malinzi kwa uhai wa SOKA letu
#Piga_Chini_Malinzi kwa uhai wa SOKA letu
#Piga_Chini_Malinzi kwa uhai wa SOKA letu
#Piga_Chini_Malinzi kwa uhai wa SOKA letu
cc Jamal Malinzi
Kwa hiyo tangu Malinzi ashike uongozi hakuna lolote la maana alilolifanya?sijaona la maana
Hawawezi kujibu hili swali,eti Mayai na Mtemi wanaenda kuchukua forms wapambe wao ni wakina Julio na wazee njaa wa Ilala kweli hawa watu hawapo seriously.apigwe chini kwa lipi? lin soka letu lilikuwa juu?
Ni kweli lazima atoke ama sivyo soka letu litadidimia kabisamalinzi kwa kweli hapana
Soka letu lini lilikuwa juu?Ni kweli lazima atoke ama sivyo soka letu litadidimia kabisa
Mkuu hongera kwa pulling ya ajabu ya kutetea madudu ya Malinzi mpaka nawaza wewe utakuwa Malinzi katika ID hii,una undugu nae au umelipwa. AAny way umeshinda mchana kutwa ni wakati wa kupumzikaSoka letu lini lilikuwa juu?
Tatizo la wabongo hamleti mabaya wala mazuri ya Malinzi nyie mmeng'ang'ani ukabila na uYanga tukiwaambia leteni hayo mabaya ya Malinzi pamoja na ushahidi wake mnaishia kusema ooh anaua soka letu,huo ni utetezi wa kindezi. Halafu wanaume wazima mnajifanya vipofu kwa kutokuona mambo mazuri ya Malinzi aliyofanya tofauti na watangulizi wake. Mfano mzuri hakuna hata siku moja iliyotokea kocha au wachezaji wa timu za Taifa wakinung'uka kukosa mishahara,posho na huduma za kambi tofauti na huko nyuma ambapo hiyo nauli tuu ilikiwa bakuli lazima litembezwe. Pia Malinzi amejitahidi kuzuia sana migogoro ya vilabu na vyama vya mpira vya mikoa hilo nyie hamuoni mnaishia kwenye personal attack.Mkuu hongera kwa pulling ya ajabu ya kutetea madudu ya Malinzi mpaka nawaza wewe utakuwa Malinzi katika ID hii,una undugu nae au umelipwa. AAny way umeshinda mchana kutwa ni wakati wa kupumzika