Tumwondoe Jamal Malinzi TFF hapa

Tumwondoe Jamal Malinzi TFF hapa

Jamali Malinzi apumzike waingie wengine............
 
Malinzi alishajitabiria kuondoka ndio maana akaenda kujishikiza chama cha soka Kagera.
 
Watanzania sis tumejawa na chuki..... hata mbunge wa mtama tulimuona hafai ndan ya masaa machache akawa shujaa wetu, binafs nina iman na JAMAL MALINZI....mko wapi mliowah kusema Tenga hafai? kila kitu hakifai kwenu, tujifunze kuappreciate kwa mazuri
Huyo mbunge wa Mtama hafai mpaka kesho,
Weka mazuri hayo ya Malinzi tua-appriciate
#Piga_Chini_Malinzi kwa uhai wa SOKA letu
#Piga_Chini_Malinzi kwa uhai wa SOKA letu
#Piga_Chini_Malinzi kwa uhai wa SOKA letu
#Piga_Chini_Malinzi kwa uhai wa SOKA letu
#Piga_Chini_Malinzi kwa uhai wa SOKA letu
cc Jamal Malinzi
 
apigwe chini kwa lipi? lin soka letu lilikuwa juu?
 
Soka letu lini lilikuwa juu?
Mkuu hongera kwa pulling ya ajabu ya kutetea madudu ya Malinzi mpaka nawaza wewe utakuwa Malinzi katika ID hii,una undugu nae au umelipwa. AAny way umeshinda mchana kutwa ni wakati wa kupumzika
 
Katika wagombea wote ally mayay anafaa, na anaweza kulibadili soka letu, malinzi mpigaji kama wenzake tu
 
Mkuu hongera kwa pulling ya ajabu ya kutetea madudu ya Malinzi mpaka nawaza wewe utakuwa Malinzi katika ID hii,una undugu nae au umelipwa. AAny way umeshinda mchana kutwa ni wakati wa kupumzika
Tatizo la wabongo hamleti mabaya wala mazuri ya Malinzi nyie mmeng'ang'ani ukabila na uYanga tukiwaambia leteni hayo mabaya ya Malinzi pamoja na ushahidi wake mnaishia kusema ooh anaua soka letu,huo ni utetezi wa kindezi. Halafu wanaume wazima mnajifanya vipofu kwa kutokuona mambo mazuri ya Malinzi aliyofanya tofauti na watangulizi wake. Mfano mzuri hakuna hata siku moja iliyotokea kocha au wachezaji wa timu za Taifa wakinung'uka kukosa mishahara,posho na huduma za kambi tofauti na huko nyuma ambapo hiyo nauli tuu ilikiwa bakuli lazima litembezwe. Pia Malinzi amejitahidi kuzuia sana migogoro ya vilabu na vyama vya mpira vya mikoa hilo nyie hamuoni mnaishia kwenye personal attack.
 
Back
Top Bottom