Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 22,719
- 40,739
Washauri na wapambe wake wenyewe ndio wale wakina Julio?Katika wagombea wote ally mayay anafaa, na anaweza kulibadili soka letu, malinzi mpigaji kama wenzake tu
We Mkenya unatafuta nini Bongo!?
Malinzi atokeee, shetani mkubwaaa![/QUOTE
Shetani ni waliokuzaa wewe shetani mdogo
Tunamtaka Ally Mayay kwa sababu nyingi tu.Baadhi ni kuwa ni mtu wa mpira maana ameucheza.Pamoja na kupitia Yanga kama mchezaji hana unazi kwa timu hizi kubwa ambazo kwa kweli ndio zimeua soka letu.Timu zina miaka zaidi ya 80 hata viwanja hamna!? wajifunze nini kina Mbao!?.Mtusaidie sasa sisi wapiga kura kama malinzi ni jipu tuwachagulie nani na kwa nini...
Huyu ana tamaa sana na madaraka halafu ni mwanasiasa na sisi hatutaki siasa kwenye soka.Mara ubunge wa Iringa Mara michezo. Rasilimali za TFF zitaishia jimboni Iringa.Mwakalebela arudi TFF
kwa kweliKwa hiyo tangu Malinzi ashike uongozi hakuna lolote la maana alilolifanya?
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Nahisi utakuwa mwandani wake Malinzi kwa jinsi unavyoonyesha mahaba yaliyopitiliza.
Na kama amekulipa basi amechagua mtu asiyejitambua na anazidi kujipunguzia heshima.
Tetea kwa hoja na si matusi
Nyie mnamwangalia Malinzi sio kama kiongozi na mazuri aliyofanya bali chuki,wivu,ukabila,uYanga,husda na vijino pembe. Na sijui hali zenu kiafya itakuwaje endapo atarudi tena awamu ya pili.huyu dada wanjiru anaonekana ni mtu wa karibu sana na malinzi maana anaongea kwa mahaba makubwa sana na hataki hata kuelewa kuwa wenzie wanaangalia mpira si mahaba aliyo naye kwa huyo mtu.
Unamtaka wewe na akina nani?Huyu ana tamaa sana na madaraka halafu ni mwanasiasa na sisi hatutaki siasa kwenye soka.Mara ubunge wa Iringa Mara michezo. Rasilimali za TFF zitaishia jimboni Iringa.
Tunamtaka Ally Mayay Tembele.
Nyie mnamwangalia Malinzi sio kama kiongozi na mazuri aliyofanya bali chuki,wivu,ukabila,uYanga,husda na vijino pembe. Na sijui hali zenu kiafya itakuwaje endapo atarudi tena awamu ya pili.
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo tufanyaje,je tutumie ule msemo wa kiswahili kuwa Zimwi likujualo halikuli likakumaliza kuliko haya "Mazimwi Mapya" yalichochukua form ambayo hatuyafahamu?Malinzi hafai ila walio chukua fomu nao ni majanga
Nakusikitikia sana kwa kuchagua upande ulioshindwa kabla match haijaanza.HILO SWALI NILITAKA KUKUULIZA WEWE HALI YAKO KIAFYA ITAKUAJE TENA? MAANA HAPO NAKUONA TAYARI UPO HALIJOJO..UNATAKA AENDELEE TENA NA TENA..UTAPONA KWELI AU NDO SASA ITABIDI UWE UNAVAA NA PAMPUS.
hivi wachagga na wahaya walikosa nn kwenye chi hii mbona huwa wanapigwa vita sana?We mchaga au muhaya?
Mkuu usishangae sana ni elimu,wivu,chuki na husda ya maendeleo. Kuna mmoja hapo juu kasema kuwa eti tumpe Mayay sababu ni msomi namuuliza mwenye Certificate ya biaahara tena kutoka CBE na MTU msomi kama Malinzi ni nani hapo ni msomi,kakimbia.hivi wachagga na wahaya walikosa nn kwenye chi hii mbona huwa wanapigwa vita sana?
Mkuu usishangae sana ni elimu,wivu,chuki na husda ya maendeleo. Kuna mmoja hapo juu kasema kuwa eti tumpe Mayay sababu ni msomi namuuliza mwenye Certificate ya biaahara tena kutoka CBE na MTU msomi kama Malinzi ni nani hapo ni msomi,kakimbia.
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Aisee mkuu agiza mvinyo hapo. Naja lipa,[emoji16] [emoji16]Huyu mtu hafai kuendelea kuwa Rais wa TFF. Uhuni aliofanya ni mwingi sana likiwepo suala la migogoro katika maamuzi ya mech za Ligi Kuu kwa team zote.
Huyu jamaa ameamua kujijenga yeye na kundi ka watu flan wa karibu yake na kusahau maslah ya taifa kwa ujumla.ni mbabaishaji hakuna alilolifanya zaidi ya kuharibu hata mazuri ya leodgar tenga kwa sabab ya chuki na kutojiamini kwake.
Humu JF alikimbia baada ya kupata urais TFF akaona hamna maana tena ingawa aliitumia hii JF Kujinadi na kuomba kura. Sasa anarudi kwa ID weng hamzifaham kuja kujitetea.
MALINZI NI JANGA LA MAENDELEO YA MPIRA HAPA NCHINI. TUBADILISHE TUMWEKE MWINGINE. NA HAPA SIMPIGII DEBE YEYOTE