Tumwondoe Jamal Malinzi TFF hapa

Tumwondoe Jamal Malinzi TFF hapa

Mtusaidie sasa sisi wapiga kura kama malinzi ni jipu tuwachagulie nani na kwa nini...
Tunamtaka Ally Mayay kwa sababu nyingi tu.Baadhi ni kuwa ni mtu wa mpira maana ameucheza.Pamoja na kupitia Yanga kama mchezaji hana unazi kwa timu hizi kubwa ambazo kwa kweli ndio zimeua soka letu.Timu zina miaka zaidi ya 80 hata viwanja hamna!? wajifunze nini kina Mbao!?.
 
huyu dada wanjiru anaonekana ni mtu wa karibu sana na malinzi maana anaongea kwa mahaba makubwa sana na hataki hata kuelewa kuwa wenzie wanaangalia mpira si mahaba aliyo naye kwa huyo mtu.
Nahisi utakuwa mwandani wake Malinzi kwa jinsi unavyoonyesha mahaba yaliyopitiliza.

Na kama amekulipa basi amechagua mtu asiyejitambua na anazidi kujipunguzia heshima.

Tetea kwa hoja na si matusi
 
huyu dada wanjiru anaonekana ni mtu wa karibu sana na malinzi maana anaongea kwa mahaba makubwa sana na hataki hata kuelewa kuwa wenzie wanaangalia mpira si mahaba aliyo naye kwa huyo mtu.
Nyie mnamwangalia Malinzi sio kama kiongozi na mazuri aliyofanya bali chuki,wivu,ukabila,uYanga,husda na vijino pembe. Na sijui hali zenu kiafya itakuwaje endapo atarudi tena awamu ya pili.

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
HILO SWALI NILITAKA KUKUULIZA WEWE HALI YAKO KIAFYA ITAKUAJE TENA? MAANA HAPO NAKUONA TAYARI UPO HALIJOJO..UNATAKA AENDELEE TENA NA TENA..UTAPONA KWELI AU NDO SASA ITABIDI UWE UNAVAA NA PAMPUS.

Nakusikitikia sana kwa kuchagua upande ulioshindwa kabla match haijaanza.

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Hafai hata bure na hana jipya zaid ya ukabila,ni kumuondoa tu hakuna namna
 
hivi wachagga na wahaya walikosa nn kwenye chi hii mbona huwa wanapigwa vita sana?
Mkuu usishangae sana ni elimu,wivu,chuki na husda ya maendeleo. Kuna mmoja hapo juu kasema kuwa eti tumpe Mayay sababu ni msomi namuuliza mwenye Certificate ya biaahara tena kutoka CBE na MTU msomi kama Malinzi ni nani hapo ni msomi,kakimbia.

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
 
Mkuu usishangae sana ni elimu,wivu,chuki na husda ya maendeleo. Kuna mmoja hapo juu kasema kuwa eti tumpe Mayay sababu ni msomi namuuliza mwenye Certificate ya biaahara tena kutoka CBE na MTU msomi kama Malinzi ni nani hapo ni msomi,kakimbia.

Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app

Mkuu naunga Mkono hoja..tumpe muda malinzi amalize aliyoyaanzisha.
 
Huyu mtu hafai kuendelea kuwa Rais wa TFF. Uhuni aliofanya ni mwingi sana likiwepo suala la migogoro katika maamuzi ya mech za Ligi Kuu kwa team zote.

Huyu jamaa ameamua kujijenga yeye na kundi ka watu flan wa karibu yake na kusahau maslah ya taifa kwa ujumla.ni mbabaishaji hakuna alilolifanya zaidi ya kuharibu hata mazuri ya leodgar tenga kwa sabab ya chuki na kutojiamini kwake.

Humu JF alikimbia baada ya kupata urais TFF akaona hamna maana tena ingawa aliitumia hii JF Kujinadi na kuomba kura. Sasa anarudi kwa ID weng hamzifaham kuja kujitetea.

MALINZI NI JANGA LA MAENDELEO YA MPIRA HAPA NCHINI. TUBADILISHE TUMWEKE MWINGINE. NA HAPA SIMPIGII DEBE YEYOTE
Aisee mkuu agiza mvinyo hapo. Naja lipa,[emoji16] [emoji16]
 
Nlianzisha thread moja humu ndani nikisema tumwondoe Malinzi hapa. Wakaja watu wakadhihaki n.k lakini walikuja watu wakaleta details za muhimu kabisa ambazo zimefanyiwa kazi na matokeo yake nadhan yataonekana.

Lazma tufikie hatua tuheshimu nafasi tunazokuwepo. Siyo kila mtu ajifanyie anavyojifanyia yeye na watu wake. Utaratibu huu utaendelea kwa wote wanaotenda yasiyopasa kwa jamii hii ya tanzania.
 
Back
Top Bottom