Ramaa Tech
JF-Expert Member
- Oct 17, 2017
- 715
- 69
Hata ku Design kariakoo ni Tsh 3,000/= ila sisi tuna Design kwa Tsh 50,000/= karibu sana!
😂😂😂 kabisa huyu jamaa ana roho mbaya sasa sijui ameumia na nn amesahau kuwa hii ni biashara huria!
karibu sanaa!
Hapana bei siyo kali pia Ili Label yako iwe na mvuto lazima Designer afanye kazi kwa kiwango! Pia unapata na Offer ya Mockup kuonyesha bidhaa yako jinsi itakavyokuwa pale utakapo ibandika hiyo sticker!Kwa nini unadesign kwa bei kali hivyo?