Tuna design na kuprint lebo/stika za bidhaa mbali mbali

Tuna design na kuprint lebo/stika za bidhaa mbali mbali

Hapana bei siyo kali pia Ili Label yako iwe na mvuto lazima Designer afanye kazi kwa kiwango! Pia unapata na Offer ya Mockup kuonyesha bidhaa yako jinsi itakavyokuwa pale utakapo ibandika hiyo sticker!
Okay though sifahamu mockup ni kitu gani!
Nimekuelewa all the best.
 
Okay though sifahamu mockup ni kitu gani!
Nimekuelewa all the best.
Mock up ni kama hizo picha unazoona hapo katika tangazo! Hiyo sticker katika kidumu cha mafuta nimeibandika kwa Computer na hiyo sticker katika mfuko wa Unga nimebandika hapo kwa Computer kukuonyesha kuwa bidhaa yako itakuwa na muonekano huo baada ya kuwa printed kwa hiyo label nitakayo Design kwa product unayo deal nayo! Hope umenielewa sasa karibu sanaa!
 
Bodaboda zinaua ndoto za watu wengi na kuleta majonzi kwa jamii.

Poleni sana wafiwa.
 
Back
Top Bottom