Tuna fanya programming ya funguo za magari

Karibuni katika ofisi yetu mpya,imeanza kufanya kazi,wasiliana nasi kwa maelezo zaidi
 
Tuna fanya Programming ya funguo za magari zinazotumia sensor(transponder) na smart key(keyless or push to start key).kwa magari aina zote yaani TOYOTA,VW,BMW,FORD nk. Kama unahitaji funguo ya zaida au funguo umepoteza tunafanya Programming kwa bei nafuu. Pia kama kasha la funguo limechakaa unahitaji kubadili wasiliana nasi
SIMU:0714704097.
Email:info@wakudesahrt.com
Website:www.wakudesahrt.com
 
Sawa nimekuelewa nina toyota wish fungui yake ilikuwa na sensor sasa imevunjika vunjika ile sensor sasa mnanisaidia vip maana funguo ya kawaida haiwez kuwash
 
Sawa nimekuelewa nina toyota wish fungui yake ilikuwa na sensor sasa imevunjika vunjika ile sensor sasa mnanisaidia vip maana funguo ya kawaida haiwez kuwash

Hiyo sensor tunafanya Programming kwa laki 3
 
Mkuu nahitaji funguo yangu ya toyota runx iwe na remote ya kufungua milango.
Je inawezekana?
 
Prado 120
Ya 2005?
Bei gani funguo?
 
Kidogo nimepata mwanga Ila naomba kufahamu kuchonga funguo nyingine ya ziada je wale wachonga funguo za majumbani au kunasehemu maalumu ????
Je nikishachingesha ndo mnaweza iwekea sensor ???? Maana kagari kangu kinafunguo moja tu
 
Ni hao hao wachonga funguo za majumban ila ni baazi yao ndo wana machine za kuchonga na funguo za magari

Sensor yenyewe inaweza kuwekwa hata kabla funguo haijachongwa
 
Ni hao hao wachonga funguo za majumban ila ni baazi yao ndo wana machine za kuchonga na funguo za magari

Sensor yenyewe inaweza kuwekwa hata kabla funguo haijachongwa
Nashukuru sana Mkuu
Sensor ya brevis bei gani mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…