Tuna fanya programming ya funguo za magari

Tuna fanya programming ya funguo za magari

Inahitajika uje na gari mkuu, kwa sababu kuna kifaa cha kutoa ili tuweze kusoma data ili tuweze kuprogram funguo

Barikiwa Mkuu, na je kwa sisi wa nje ya Dar tutanufaika vipi na huduma hiyo muhimu?
 
Barikiwa Mkuu, na je kwa sisi wa nje ya Dar tutanufaika vipi na huduma hiyo muhimu?

Kuna kifaa tunakuelekeza(immobilizer) unafungua unatutumia huku ndo tutaweza kuku fanyia programming ya funguo
 
c6e54a30ba5a1e0f8c19decb37948896.jpg

Scania Key Programmed
 
a0244b3c48613066617fadf893b5cd70.jpg

For key programming check us on
SIMU:0714704097.
Email:info@wakudesahrt.com
 
Back
Top Bottom