Tuna haki ya kufidiwa vifurushi kwa kuzimwa mitandao

Mayu

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2010
Posts
7,621
Reaction score
12,505
Wadau naamini kampuni za simu zitafidia vifurushi vyetu vilivyo kwisha bila kutumika ipasavyo baada ya mitandao ya kijamii kuzimwa ambapo ndio hutumia asilimia kubwa ya matumizi ya vifurushi data
 
Sahau. Wakati wewe unataka urudishiwe MB zako, kuna wengine wamelostishwa kwenye biashara zako kwa sababu ya kukosekana mtandao
 
Kila mtu adai alipo athirika yeye
 
Wadau naamini kampuni za simu zitafidia vifurushi vyetu vilivyo kwisha bila kutumika ipasavyo baada ya mitandao ya kijamii kuzimwa ambapo ndio hutumia asilimia kubwa ya matumizi ya vifurushi data
Hata ukienda kwenye vyombo vya sheria na hata ikitokea umeshinda kesi hutolipwa! Believe Me hii ni Tanzania sio nchi zingine....
 
Wakisema walipe fidia ya hasara ya kujam kwa network then nadhani kampuni zitakuwa bankrupt.....
Maaana ni bilions zitalipwa....
 
Wadau naamini kampuni za simu zitafidia vifurushi vyetu vilivyo kwisha bila kutumika ipasavyo baada ya mitandao ya kijamii kuzimwa ambapo ndio hutumia asilimia kubwa ya matumizi ya vifurushi data
Cha kwanza tuombe turudi kwenye maisha yetu ya kawaida, maana inawezakana aliye-code hiyo kitu amepoteza kumbukumbu ya alichokifanya.
 
Haiwez kutokea,..kwa kampuni za simu hapa bongo..
Nimetupa lain zote nimebak na lain moj..Mana Kila kukicha wanapunguza vifurushi..
 
Back
Top Bottom