Tuna jambo letu wadau wa sekta ya afya

Maji yale yenye chemicals kutoka migodini yanapoingia ziwa victoria na tunakula samaki wa ziwa hilo
madhara yake ni nini
inasemekana kansa ni kubwa sana kanda ya ziwa, nini chanzo
tafuteni hela mfanye utafiti wa hivyo vitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…