Tuna judge kwa Avatar?

Tuko

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2010
Posts
11,180
Reaction score
7,346
Unajua huku jamvini asilimia kubwa watu wanatumia avatar ambazo sio picha za sura zao. Hata ivo kwa ninavyoona mimi, na nadhani ni hali ya kawaida ya kibinadamu, watu wengi humu tunajibu hoja za watu kwa kuangalia avatar zao.

Kwa mfano avatar iliyokaa kimzaha kama ya Rose1980, watu wanajibu post zake kimzahamzaha tu. Ukikuta avatar iliyokaa inachekacheka kama ya Chauro, unatamani umjibu maana unaona kama mtu mcheshi vile. Watu wenye avatar za kutisha kama Ghost rider, utaona watu hawajibu sana post zao kwa kuwaogopa. Kuna wenye avatar zilizokaa kizezetazezeta kama Rejao, utaona kila mtu anampuuza hata akiongea point.

Avatar zilizokaa siriaz kama yangu, utaona watu wanavyojibu siriazli, chekini hata hii post...
 
CRAP...how is that for a serious reply?!
 
Nakujua we mbishi... BTW wasichana wote wanaoitwa Elizabeth ni wabishi....
Mkipewa LIVE mnasema UBISHI!!Heeehehe...heri mbishi ajuae kuliko mtulivu sijui mpole asiyejua!!
 
crap! Natumiaga cm mara zote sasa cjui kama hata avater nazionaga?labda wenye cm tusaidiane.
 
Mkipewa LIVE mnasema UBISHI!!Heeehehe...heri mbishi ajuae kuliko mtulivu sijui mpole asiyejua!!

Wabishi wengi wanajua vitu vingi sana lakini kwa bahati mbaya they know them wrong...
 
ulioongea ni kweli kabisa avata zinachangia aina ya response kama huyo rose hata akujibu kwa ukali huwezi chukia sababu anakukonyeza mfano

mzuri jinsi alivyo kujibu lizzy hapo angejibu hivyo rose hata usingekasirika sana aliposema hii ni crap. na hio ni mbaya mtoa mada wa kwanza kama

hua anaongea pointi basi akija tu negative unakuta wote wanafuata mkumbo badala ya kutoa mawazo yao.
 
Avatar zipo tricky sana but wakati mwingine inaweza ku reflect tabia halisi ya mhusika.
 


Sijakasirika banaa.

Hata hivyo hii post nilikuwa natania tu, haina ukweli but watu wameichukulia siriaz kwa sababu tu ya avatar yangu... hahahaaaaaaaa...
 
Dah...kumbe ndivyo inavyokua?!Binafsi hua naangalia alichoandika na mtu na sio aliyeandika kabla ya kuamua nijibu vipi!!
 
Sijakasirika banaa.

Hata hivyo hii post nilikuwa natania tu, haina ukweli but watu wameichukulia siriaz kwa sababu tu ya avatar yangu... hahahaaaaaaaa...



unaweza ona hii post ni mzaha but avata hapa jf inacheza nafasi kubwa imagine mwanakijiji aweke avata kama ya gaijin.
 
Dah...kumbe ndivyo inavyokua?!Binafsi hua naangalia alichoandika na mtu na sio aliyeandika kabla ya kuamua nijibu vipi!!



najua hua unajibu binafsi but una influensi tokana na mchango wako mwingi kua positive hivyo yule mwenyewe hana upambanuzi anaangila lizzy

kajibu nini anaka hua upande.
 
Lizzy naona unajibu siriaz sana. Ukweli nikuwa hii topic haina ukweli, but kwa kuangalia avatar yangu ilivyo siriaz, umedhani namaanisha... lol



nafikiri maneno yangu yanadhirisha kua rose angeongea hayo maneno ungekua huna haja ya kujitetea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…