Tuna judge kwa Avatar?

Tuna judge kwa Avatar?

matokeo ya utafiti au hisia tu............................................
 
Yeyote anaepita huu uzi aende complaints lakini post tu kama unamajibu sio mnichafulie post yangu nataka majibu

faizafoxy ndio ashadii kwanini apewi burn tena id zoote?
 
hahahahaaaaaaaa dah! Avata imeleta mambo humu.

Weekend njema Romance. kwik kwik
 
Unajua huku jamvini asilimia kubwa watu wanatumia avatar ambazo sio picha za sura zao. Hata ivo kwa ninavyoona mimi, na nadhani ni hali ya kawaida ya kibinadamu, watu wengi humu tunajibu hoja za watu kwa kuangalia avatar zao.

Kwa mfano avatar iliyokaa kimzaha kama ya Rose1980, watu wanajibu post zake kimzahamzaha tu. Ukikuta avatar iliyokaa inachekacheka kama ya Chauro, unatamani umjibu maana unaona kama mtu mcheshi vile. Watu wenye avatar za kutisha kama Ghost rider, utaona watu hawajibu sana post zao kwa kuwaogopa. Kuna wenye avatar zilizokaa kizezetazezeta kama Rejao, utaona kila mtu anampuuza hata akiongea point.

Avatar zilizokaa siriaz kama yangu, utaona watu wanavyojibu siriazli, chekini hata hii post...

Avatar yangu ni madogo hapa home "aziza, & jahad" what can you say from my avatar ...?? nothing! zero... sidhani kama avatar inamuwakilisha muhusika..
 
Mh mi nakula watu!! cheki avatar yangu ilivyotulia!!
 
Back
Top Bottom