Tuna judge kwa Avatar?

Tuna judge kwa Avatar?

na lizzy ndio alimvua confidence mrusha uzi mpaka akaanza kujitetea alikua anatania.
mleta uzi ni mlaini mno uzi wa kweli kivipi kashindwa kushilkilia?
REJAO anisamehe tu ila uzezeta haukwepeki

avatar23356_4.gif
 
Unajua huku jamvini asilimia kubwa watu wanatumia avatar ambazo sio picha za sura zao. Hata ivo kwa ninavyoona mimi, na nadhani ni hali ya kawaida ya kibinadamu, watu wengi humu tunajibu hoja za watu kwa kuangalia avatar zao.

Kwa mfano avatar iliyokaa kimzaha kama ya Rose1980, watu wanajibu post zake kimzahamzaha tu. Ukikuta avatar iliyokaa inachekacheka kama ya Chauro, unatamani umjibu maana unaona kama mtu mcheshi vile. Watu wenye avatar za kutisha kama Ghost rider, utaona watu hawajibu sana post zao kwa kuwaogopa. Kuna wenye avatar zilizokaa kizezetazezeta kama Rejao, utaona kila mtu anampuuza hata akiongea point.

Avatar zilizokaa siriaz kama yangu, utaona watu wanavyojibu siriazli, chekini hata hii post...

avatar43960_2.gif


Fellow T
 
mleta uzi ni mlaini mno uzi wa kweli kivipi kashindwa kushilkilia?
REJAO anisamehe tu ila uzezeta haukwepeki

avatar23356_4.gif



rejao alipotuma post humu niliruka sikusoma nilisoma alipokua nukuriwa yani huo ndio mfano mzuri.
 
mleta uzi ni mlaini mno uzi wa kweli kivipi kashindwa kushilkilia?
REJAO anisamehe tu ila uzezeta haukwepeki

avatar23356_4.gif

Marytina unaniona nilivyo handsome?? Kila mtu ananikubali
 
profilepic10550_2.gif.jpgHii hapa na Avatar yangu ipi ukiiona unaweza kukimbia?
 
Marytina unaniona nilivyo handsome?? Kila mtu ananikubali



toka huu uzi umewekwa hapa jumlisha na avata kweli unaweza laumu kutochukuliwa serious sasa hapo handsome kwa kuku au?
 
ingetokea sina boyfriend nisingekukubali bora nife na bikira yangu kuliko kukukaribia
Nachojua mimi wadada wa siku hizi huwa hawaangalii mvuto wa mwanaume! Mwanaume PESA, ukishakuwa na chapaa basi!
 
Back
Top Bottom