Romance
JF-Expert Member
- Jun 15, 2011
- 585
- 159
Nimeona yawezekan uliacha on alafu wajanja hapo ulipo wakakuzidi kete
namfahamu ni dogo langu na niliweka id pc ikumbuke automatikali. nimekoma.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeona yawezekan uliacha on alafu wajanja hapo ulipo wakakuzidi kete
mleta uzi ni mlaini mno uzi wa kweli kivipi kashindwa kushilkilia?na lizzy ndio alimvua confidence mrusha uzi mpaka akaanza kujitetea alikua anatania.
namfahamu ni dogo langu na niliweka id pc ikumbuke automatikali. nimekoma.
Unajua huku jamvini asilimia kubwa watu wanatumia avatar ambazo sio picha za sura zao. Hata ivo kwa ninavyoona mimi, na nadhani ni hali ya kawaida ya kibinadamu, watu wengi humu tunajibu hoja za watu kwa kuangalia avatar zao.
Kwa mfano avatar iliyokaa kimzaha kama ya Rose1980, watu wanajibu post zake kimzahamzaha tu. Ukikuta avatar iliyokaa inachekacheka kama ya Chauro, unatamani umjibu maana unaona kama mtu mcheshi vile. Watu wenye avatar za kutisha kama Ghost rider, utaona watu hawajibu sana post zao kwa kuwaogopa. Kuna wenye avatar zilizokaa kizezetazezeta kama Rejao, utaona kila mtu anampuuza hata akiongea point.
Avatar zilizokaa siriaz kama yangu, utaona watu wanavyojibu siriazli, chekini hata hii post...
mleta uzi ni mlaini mno uzi wa kweli kivipi kashindwa kushilkilia?
REJAO anisamehe tu ila uzezeta haukwepeki
![]()
Unaonekana kama mlokole flani hivi eti??
![]()
Fellow T
bado sijaolewa nijifanye mlokole mchumba nitampata wapi na kanisana naenda x-mas.
Maombi maalumu unakaribisha? mwenyewe bado nipo nipo
kabla sijajibu toa ombi kwanza nijue.
mleta uzi ni mlaini mno uzi wa kweli kivipi kashindwa kushilkilia?
REJAO anisamehe tu ila uzezeta haukwepeki
![]()
Usimwage nchele kwenye kuku wengi hebu check PM
Marytina unaniona nilivyo handsome?? Kila mtu ananikubali
View attachment 33007Hii hapa na Avatar yangu ipi ukiiona unaweza kukimbia?
ingetokea sina boyfriend nisingekukubali bora nife na bikira yangu kuliko kukukaribiaMarytina unaniona nilivyo handsome?? Kila mtu ananikubali
Nachojua mimi wadada wa siku hizi huwa hawaangalii mvuto wa mwanaume! Mwanaume PESA, ukishakuwa na chapaa basi!ingetokea sina boyfriend nisingekukubali bora nife na bikira yangu kuliko kukukaribia
unaanza kumwaga kimba kama kawaNachojua mimi wadada wa siku hizi huwa hawaangalii mvuto wa mwanaume! Mwanaume PESA, ukishakuwa na chapaa basi!
Oooops!!!unaanza kumwaga kimba kama kawa![]()