Romance
JF-Expert Member
- Jun 15, 2011
- 585
- 159
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
matokeo ya utafiti au hisia tu............................................
Yaani unavyoitende hako hii Post inakufaa zaidi ya mleta Post mwenyewe.....hisia zinapelekea kusema wewe sharobaro wa zamani na hio picha yako mtu gani leo anaweka staili hio.
Yaani unavyoitende hako hii Post inakufaa zaidi ya mleta Post mwenyewe.....
Hahahahahaahahhhaaaahhaaaaa!!!!!Nitake radhi plz, mimi siyo zezeta! Naona unajitafutia ban
Hahahahahaahahhhaaaahhaaaaa!!!!!
hahahahaaaaaaaa dah! Avata imeleta mambo humu.
Weekend njema Romance. kwik kwik
Unajua huku jamvini asilimia kubwa watu wanatumia avatar ambazo sio picha za sura zao. Hata ivo kwa ninavyoona mimi, na nadhani ni hali ya kawaida ya kibinadamu, watu wengi humu tunajibu hoja za watu kwa kuangalia avatar zao.
Kwa mfano avatar iliyokaa kimzaha kama ya Rose1980, watu wanajibu post zake kimzahamzaha tu. Ukikuta avatar iliyokaa inachekacheka kama ya Chauro, unatamani umjibu maana unaona kama mtu mcheshi vile. Watu wenye avatar za kutisha kama Ghost rider, utaona watu hawajibu sana post zao kwa kuwaogopa. Kuna wenye avatar zilizokaa kizezetazezeta kama Rejao, utaona kila mtu anampuuza hata akiongea point.
Avatar zilizokaa siriaz kama yangu, utaona watu wanavyojibu siriazli, chekini hata hii post...
Umeona wanavyoponda avatar za wanyama? Naona yangu ina afadhali kuliko yakoMh mi nakula watu!! cheki avatar yangu ilivyotulia!!
Mh mi nakula watu!! cheki avatar yangu ilivyotulia!!
Umeona wanavyoponda avatar za wanyama? Naona yangu ina afadhali kuliko yako
No comment