Tuna la kujifunza kutoka Zambia kwenye Uapisho wa Rais Hakainde Hichilema

Tuna la kujifunza kutoka Zambia kwenye Uapisho wa Rais Hakainde Hichilema

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Habari Ya Machweo Wakuu.

Kwenye sherehe nyingi za uapisho wa Rais kwa nchi za Kiafrika vyama pinzani toka nchi mbalimbali huwa ni nadra kualikwa.

Rais wa Zambia Mh. Hakainde Hichilema amevunja mwiko kwa kuvialika vyama pinzani toka nchi mbalimbali za Afrika kuhudhuria uapisho wake!

Nchi nyingine Afrika walienda na Viongonzi Wa Vyama vya Upinzani Tofauti na Tanzania Ambapo Rais Wa Nchi aliongozana na Viongonzi Wa Chama Chake Tu CCM.

View attachment 1907189View attachment 1907190
Screenshot_20210825-075001.jpg
 
Back
Top Bottom