Kwetu Same Ndungu, Kwetu Karagwe na kwingine wapi?Yaani inasambaza vithibitisho ili kumuaibisha shahidi, inarusha mitandaoni kupitia akaunti zisizo julikana ili kumuaibisha shahidi , lakini mwisho wa siku wana aibika wao tena aibu ya uchi. Tuna jeshi bovu la Polisi na Mahakama ya Hovyo dunia nzima hakuna ni Tanzania tu
ok.Yaani inasambaza vithibitisho ili kumuaibisha shahidi, inarusha mitandaoni kupitia akaunti zisizo julikana ili kumuaibisha shahidi , lakini mwisho wa siku wana aibika wao tena aibu ya uchi. Tuna jeshi bovu la Polisi na Mahakama ya Hovyo dunia nzima hakuna ni Tanzania tu