Tuna majimbo 272 ya ubunge, kwa nini tuna wabunge karibia 400 bungeni?!

👉 wabunge wa viti maalumu,

👉 Wabunge wa kuteuliwa na Raisi,

👉wawakilishi kutoka zenji
Bunge linatakiwa liwe tu na watu waliochaguliwa na wananchi wote kwa ujumla katoka katika jimbo. Nafikiri bado hatuelewi maana ya mbunge ni nani.
 
Amos Makalla anasema tuna majimbo 272 ya uchaguzi sasa inakuaje tunakuwa na wabunge 393?!

Hii ni demokrasia ya aina gani ambapo bunge linajazwa watu wasio na majimbo yoyote ya uwakilishi?

Tunahitaji kubadilika
"Bila ya kuathiri masharti mengineyo ya Ibara hii,kutakuwa na aina zifuatazo za Wabunge,yaani:-
(a)Wabunge wa kuchaguliwa kuwakilisha majimbo ya uchaguzi
(b)Wabunge wanawake wa idadi isiyopungua asilimia thelathini ya wabunge wote waliotajwa katika aya za (a),(c),(d) na (f) wenye sifa zilizotajwa katika ibara ya 67 watakaochaguliwa na vyama vya siasa kwa mujibu wa ibara ya 78 na kwa kuzingatia masharti ya uwiano wa kura.
(c)Wabunge watano waliochaguliwa na Baraza la Wawakilishi kutoka miongoni mwa wajumbe wake na angalau Wabunge wawili kati yao wakiwa wanawake
(d)Mwanasheria Mkuu
(e)Wabunge wasiozidi kumi walioteuliwa na Rais kutoka miongoni mwa watu wenye sifa zilizotajwa katika aya za (a) na (c) za ibara ya 67 na angalau Wabunge watano kati yao wakiwa wanawake
(f)Spika,iwapo hatakuwa amechaguliwa kutoka miongoni mwa Wabunge.
 
Kwa hiyo wabunge 121 ni wa OFA OFA OFA, pata laini ya vodacom bure pia tunakuwekea salio bure na kurudisha laini iliyopotea. Karibun sana maswahiba ujipatie ubunge hata kama hupendwi na wananchi.
 
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977 ibara ya 66(1)
 
Kwa hiyo wabunge 121 ni wa OFA OFA OFA, pata laini ya vodacom bure pia tunakuwekea salio bure na kurudisha laini iliyopotea. Karibun sana maswahiba ujipatie ubunge hata kama hupendwi na wananchi.
Inasikitisha sana
 
Amos Makalla anasema tuna majimbo 272 ya uchaguzi sasa inakuaje tunakuwa na wabunge 393?!

Hii ni demokrasia ya aina gani ambapo bunge linajazwa watu wasio na majimbo yoyote ya uwakilishi?

Tunahitaji kubadilika
Mojawapo ya matumizi ya hovyo kabisa ya raslimali za nchi hii!!
 
Hao ambao hawajachaguliwa na wananchi wanamuwakikisha nani na wanawajibika KWA nani. Namuelewa sana Trump kuitisha misaada
 
Kwa ajili ya kupata watu wa maana kushika nyadhifa nzito (uwaziri), sababu raia huko majimboni humchagua yeyote eg musukuma kuwa mbunge, huwezi kuwa na waziri kama musukuma
 
Back
Top Bottom