Tuna majirani wa ajabu sana, Somalia wana waathirika 390 ilhali hospitali ni moja tu nchi yote

Tuna majirani wa ajabu sana, Somalia wana waathirika 390 ilhali hospitali ni moja tu nchi yote

Muda wote wasomali wamewekeza kwenye vita badala ya maendeleo.
Haya ndio matokeo yake sasa.
Hivi umesoma ukaelewa,hata hapa kuna hospitaly ngapi yenye vifaa vya kupambana na corona?yenye ventilators ya kutosha?
Muda wote wasomali wamewekeza kwenye vita badala ya maendeleo.
Haya ndio matokeo yake sasa.
Sikiliza uelewe kinacho zungumzwa,ni hospitaly pekee yenye uwezo wa kupokea wagonjwa wa corona,na ina vtanda ya ICU 21 na tanzania nzima kuna vitanda 38 ya icu kwa taarifa yako.
 
Nani kawakata kwenda kulipa kwao. Ni Canaan walifika!.. 🤣🤣
Kwani kenya siyo kwao pia,kwa taarifa yako wasomali wana mikoa minne ndani ya kenya na ni kabila lenye ardhi kubwa kenya inaitwa northeastern na wana jumla ya wabunge 12.hivyo jifunze historia.wasomali wanaishi nchi 4 na wana ardhi na ni raia kama kabila zingine ethiopia,somalia,djibuti na kenya.
 
Back
Top Bottom