Sikiliza uelewe kinacho zungumzwa,ni hospitaly pekee yenye uwezo wa kupokea wagonjwa wa corona,na ina vtanda ya ICU 21 na tanzania nzima kuna vitanda 38 ya icu kwa taarifa yako.
Kwani kenya siyo kwao pia,kwa taarifa yako wasomali wana mikoa minne ndani ya kenya na ni kabila lenye ardhi kubwa kenya inaitwa northeastern na wana jumla ya wabunge 12.hivyo jifunze historia.wasomali wanaishi nchi 4 na wana ardhi na ni raia kama kabila zingine ethiopia,somalia,djibuti na kenya.