Niwaheri JF-Expert Member Joined May 2, 2020 Posts 3,676 Reaction score 5,895 Mar 17, 2026 #21 Kwa sasa tunawakaririsha ili tufute zero ni kosa mwanafunzi kupata zero tunaingia darasani 12:30asubuhi tunatoka sa 11 jioni
Kwa sasa tunawakaririsha ili tufute zero ni kosa mwanafunzi kupata zero tunaingia darasani 12:30asubuhi tunatoka sa 11 jioni
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Mar 17, 2026 #22 Ngoja tuone... Cc: Mahondaw
nzalendo Platinum Member Joined May 26, 2009 Posts 13,085 Reaction score 15,197 Mar 17, 2026 Thread starter #23 Kyenju said: Mkuu! Unabofya na kuandika ili chapisho ukiwa wapi? Mimi na familia yangu tunaishi hapa PALM VILLAGE floor ya 5, hizi mboga mboga na kufuga tukuku na tusungura watoto watafanyia wapi. Click to expand... Huo ni mfano tu yakhee..kulikuwa na Somo la sanaa...hata kuchora tu wanaweza kwa hapo ghorofani,
Kyenju said: Mkuu! Unabofya na kuandika ili chapisho ukiwa wapi? Mimi na familia yangu tunaishi hapa PALM VILLAGE floor ya 5, hizi mboga mboga na kufuga tukuku na tusungura watoto watafanyia wapi. Click to expand... Huo ni mfano tu yakhee..kulikuwa na Somo la sanaa...hata kuchora tu wanaweza kwa hapo ghorofani,
Kichuguu Platinum Member Joined Oct 11, 2006 Posts 18,069 Reaction score 25,172 Mar 17, 2026 #24 Nawashukuru baba na mama kwa kunizaa mapema nikapata elimu nzuri chini ya utawala wa Mwalimu