hizi mambo ni kuanzisha hashtag tu tunakusanyana tunaenda page ya bet ya tweeter kufunguka, em tushirikiane humu kuja na hashtag watayo ielewaIngekuwa inawezekana ingekuwa poa sana hiyo
Sema c ndo wame mwachia kaka wizkid peke aje ndio a fight
Nikuanzisha kampeni tu wasanii wetu waafrika wasiende,wawaache BET wakae na tuzo zao.
Wanazengua sana kazi kuwapa interview 106 n park halafu interview zenywe zinakuja kuonyeshwa BET africa me naonaga izo tuzo wanawekaga hao wasanii wa africa ili kuvutia marketing ya tuzo zao n kuongeza watazamaji tu hadi barani africa ndo maana utakuta kwny izo tuzo za MTV ema na BET wasanii toka east africa, South n west africa na sio kusaidia kutangaza mziki wa africaIla ki ukweli ule ni udwanzi, halafu ni kama watu weusi tumejiwekea matabaka, we et wanasema air time imebana , kwani kugawa tuzo inachukua nusu saa pale!!?
Kwa hilo huwa siwaelewi
Yemi Alade aliwaambia ile ni humiliation, haiwezekani msanii bora wa bara zima waka mdharilishe kwa faida zao za kibishara, aka waambia kama ni hivo hiyo best international act (Africa) bora ifutwe tuuWanazengua sana kazi kuwapa interview 106 n park halafu interview zenywe zinakuja kuonyeshwa BET africa me naonaga izo tuzo wanawekaga hao wasanii wa africa ili kuvutia marketing ya tuzo zao n kuongeza watazamaji tu hadi barani africa ndo maana utakuta kwny izo tuzo za MTV ema na BET wasanii toka east africa, South n west africa na sio kusaidia kutangaza mziki wa africa