Ngushi
JF-Expert Member
- Jul 8, 2016
- 9,065
- 18,358
😀😀😀[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ebu Acha kunigombanisha na wananchi
Uchochezi huo sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😀😀😀[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ebu Acha kunigombanisha na wananchi
Uchochezi huo sasa
[emoji23] [emoji23]Niliwahi kusema kua Star Boy ununda wake ipo siku utamsaidia naona yanatokea jamaa aliwahi kusema kua thamani ya muziki wake haipo kwenye hizi awards ila route za kwenda bank kuweka sarafu hapa tukisema Wizkidayo ni mkubwa Africa kwani aliyoyafanya inabidi wadogo zetu waige utaambulia kutukanwa kisa tuna nyimbo zetu na viewers mil 5 Yotube
Kama ulikua hujui wizkid ndiyo alichukua tuzo ya international act Africa kwenye BET black coffee alichukua tuzo katika kipengele cha listeners choice katika BETUsisahau kuwa mwaka jana wizkid alishndwa kwa davido tuzo hizo hizo za MTV MAMA
Usisahau mwaka huu mwez wa 7 wizkid alishndwa kuchukiwa tuzo ya BET, tena akapata Black Coffee sjui au black belt wa south afrika kama sjakosea.
Wizkid asipo pata tuzo kwake ni poa, akipata pia kwake ni poa, ila amefocus na kazi zaidi, pia tujifunze kuwa hakuna mtu ambaye huchukia kila tuzo tena kila mwaka au huchukua tuzo milele tuzo ni kama pesa hutoka kwa huyu na kwenda kwa mwingine, hivo lazima wasanii wa bongo na wote walio kosa maisha yaendelee wafanye kazi, majungu waziachie timu zao hiyo kaz itafanywa.
Tujifunze kwa wizkid fanya kazi, zamu yako kesho itafika.
*Zamu ya nani leo!!?, zamu ya wizkid
Ahsante kwa kunisahihishaKama ulikua hujui wizkid ndiyo alichukua tuzo ya international act Africa kwenye BET black coffee alichukua tuzo katika kipengele cha listeners choice katika BET
Nawasilisha
Mkuu ujue tatizo la watu kama huyu muanzisha thread wao wanaangalia tu ile success ya mwisho they don't try to think about the number of times mtu ame fail au kuanguka na bado akainuka kuendelea na safari..Usisahau kuwa mwaka jana wizkid alishndwa kwa davido tuzo hizo hizo za MTV MAMA
Usisahau mwaka huu mwez wa 7 wizkid alishndwa kuchukiwa tuzo ya BET, tena akapata Black Coffee sjui au black belt wa south afrika kama sjakosea.
Wizkid asipo pata tuzo kwake ni poa, akipata pia kwake ni poa, ila amefocus na kazi zaidi, pia tujifunze kuwa hakuna mtu ambaye huchukia kila tuzo tena kila mwaka au huchukua tuzo milele tuzo ni kama pesa hutoka kwa huyu na kwenda kwa mwingine, hivo lazima wasanii wa bongo na wote walio kosa maisha yaendelee wafanye kazi, majungu waziachie timu zao hiyo kaz itafanywa.
Tujifunze kwa wizkid fanya kazi, zamu yako kesho itafika.
*Zamu ya nani leo!!?, zamu ya wizkid
Kweli na hiyo ndio inavo takiwa cha msingi kukazana, it is not the end of the world anyway bado kesho ipoMkuu ujue tatizo la watu kama huyu muanzisha thread wao wanaangalia tu ile success ya mwisho they don't try to think about the number of times mtu ame fail au kuanguka na bado akainuka kuendelea na safari..
Kama ulikua hujui wizkid ndiyo alichukua tuzo ya international act Africa kwenye BET black coffee alichukua tuzo katika kipengele cha listeners choice katika BET
Nawasilisha
Jamaa ana kupotosha na ww una kubali mkuu black coffe alichukua international act aliwashinda diamond, wiz kid, a.k.a n yemi alade na BET walimyima wiz kid tuzo makusudi maana mwaka jana alisema hato udhuria tuzo za BET hadi watakapo acha kuwapa tuzo wasanii wa africa backstage.Ahsante kwa kunisahihisha
Hivi eehMkuu ujue tatizo la watu kama huyu muanzisha thread wao wanaangalia tu ile success ya mwisho they don't try to think about the number of times mtu ame fail au kuanguka na bado akainuka kuendelea na safari..
Shabiki wa Kiba huyo, nilikuwa namuacha aende mkuu.Jamaa ana kupotosha na ww una kubali mkuu black coffe alichukua international act aliwashinda diamond, wiz kid, a.k.a n yemi alade na BET walimyima wiz kid tuzo makusudi maana mwaka jana alisema hato udhuria tuzo za BET hadi watakapo acha kuwapa tuzo wasanii wa africa backstage.
Listeners choice ilienda kwa falz wa nigeria
MfinyanziJamani me nipo nje yq mada...hivi iyo ni Gold??
hii ni kweli kabisaIla sasa na msanii ukiona unaisha mwaka mzima hujapata hata tuzo za vichochoroni ni shda nyingine hiyo. Hapo jitafakari lazma mziki wako una shida. Maana duniani ziko tuzo nyingi sana kwa kweli, haiwezekani upige kazi ifanye poa halafu ukose hata moja ya kizushi.
anafanya sahihi kabisa BET wanajifanya ya watu weusi wanapinga ubaguzi, wakati wao wanabagua weusi wa afrika kwenye tuzo kwa kuwapa tuzo back stageJamaa ana kupotosha na ww una kubali mkuu black coffe alichukua international act aliwashinda diamond, wiz kid, a.k.a n yemi alade na BET walimyima wiz kid tuzo makusudi maana mwaka jana alisema hato udhuria tuzo za BET hadi watakapo acha kuwapa tuzo wasanii wa africa backstage.
Listeners choice ilienda kwa falz wa nigeria
Kweli yaan kama vipi wasanii wanaoteuliwa BET wote kwa pamoja wakigoma kwenda kwny izo tuzo may be watachange utaratibu huoanafanya sahihi kabisa BET wanajifanya ya watu weusi wanapinga ubaguzi, wakati wao wanabagua weusi wa afrika kwenye tuzo kwa kuwapa tuzo back stage
Sisi watu weusi tunashida, yani wenyewe kwa wenyewe tunabaguana. Wasipoweza kubadilisha basi waache kabisa kutukejeli na tuzo zaoKweli yaan kama vipi wasanii wanaoteuliwa BET wote kwa pamoja wakigoma kwenda kwny izo tuzo may be watachange utaratibu huo
Sisi watu weusi tunashida, yani wenyewe kwa wenyewe tunabaguana. Wasipoweza kubadilisha basi waache kabisa kutukejeli na tuzo zao
Ila ki ukweli ule ni udwanzi, halafu ni kama watu weusi tumejiwekea matabaka, we et wanasema air time imebana , kwani kugawa tuzo inachukua nusu saa pale!!?Kweli yaan kama vipi wasanii wanaoteuliwa BET wote kwa pamoja wakigoma kwenda kwny izo tuzo may be watachange utaratibu huo
Nikuanzisha kampeni tu wasanii wetu waafrika wasiende,wawaache BET wakae na tuzo zao.Ila ki ukweli ule ni udwanzi, halafu ni kama watu weusi tumejiwekea matabaka, we et wanasema air time imebana , kwani kugawa tuzo inachukua nusu saa pale!!?
Kwa hilo huwa siwaelewi
Ingekuwa inawezekana ingekuwa poa sana hiyoNikuanzisha kampeni tu wasanii wetu waafrika wasiende,wawaache BET wakae na tuzo zao.