Tuna mengi ya kujifunza kutoka kwa Wizkid

Niliwahi kusema kua Star Boy ununda wake ipo siku utamsaidia naona yanatokea jamaa aliwahi kusema kua thamani ya muziki wake haipo kwenye hizi awards ila route za kwenda bank kuweka sarafu hapa tukisema Wizkidayo ni mkubwa Africa kwani aliyoyafanya inabidi wadogo zetu waige utaambulia kutukanwa kisa tuna nyimbo zetu na viewers mil 5 Yotube
[emoji23] [emoji23]
 
WIZKID alishasema ubora wa msanii si tuzo bali kufanya kazi kwa bidii na kujituma
 
Usisahau kuwa mwaka jana wizkid alishndwa kwa davido tuzo hizo hizo za MTV MAMA
Usisahau mwaka huu mwez wa 7 wizkid alishndwa kuchukiwa tuzo ya BET, tena akapata Black Coffee sjui au black belt wa south afrika kama sjakosea.
Wizkid asipo pata tuzo kwake ni poa, akipata pia kwake ni poa, ila amefocus na kazi zaidi, pia tujifunze kuwa hakuna mtu ambaye huchukia kila tuzo tena kila mwaka au huchukua tuzo milele tuzo ni kama pesa hutoka kwa huyu na kwenda kwa mwingine, hivo lazima wasanii wa bongo na wote walio kosa maisha yaendelee wafanye kazi, majungu waziachie timu zao hiyo kaz itafanywa.
Tujifunze kwa wizkid fanya kazi, zamu yako kesho itafika.
*Zamu ya nani leo!!?, zamu ya wizkid
Kama ulikua hujui wizkid ndiyo alichukua tuzo ya international act Africa kwenye BET black coffee alichukua tuzo katika kipengele cha listeners choice katika BET

Nawasilisha
 
WAKUUU HAPOOO HATUWEZI KUBISHA WIZKID NYIMBO YAKE IMEINGIA BILBOARD CHAT YA DUNIA SASA UNASHINDANA NAE VPI INGIA BILBOARD NDO USHINDANE NAE [HASHTAG]#SOMELYKSHABBA[/HASHTAG]
 
Kama ulikua hujui wizkid ndiyo alichukua tuzo ya international act Africa kwenye BET black coffee alichukua tuzo katika kipengele cha listeners choice katika BET

Nawasilisha
Ahsante kwa kunisahihisha
 
Usisahau kuwa mwaka jana wizkid alishndwa kwa davido tuzo hizo hizo za MTV MAMA
Usisahau mwaka huu mwez wa 7 wizkid alishndwa kuchukiwa tuzo ya BET, tena akapata Black Coffee sjui au black belt wa south afrika kama sjakosea.
Wizkid asipo pata tuzo kwake ni poa, akipata pia kwake ni poa, ila amefocus na kazi zaidi, pia tujifunze kuwa hakuna mtu ambaye huchukia kila tuzo tena kila mwaka au huchukua tuzo milele tuzo ni kama pesa hutoka kwa huyu na kwenda kwa mwingine, hivo lazima wasanii wa bongo na wote walio kosa maisha yaendelee wafanye kazi, majungu waziachie timu zao hiyo kaz itafanywa.
Tujifunze kwa wizkid fanya kazi, zamu yako kesho itafika.
*Zamu ya nani leo!!?, zamu ya wizkid
Mkuu ujue tatizo la watu kama huyu muanzisha thread wao wanaangalia tu ile success ya mwisho they don't try to think about the number of times mtu ame fail au kuanguka na bado akainuka kuendelea na safari..
 
Kweli na hiyo ndio inavo takiwa cha msingi kukazana, it is not the end of the world anyway bado kesho ipo
 
Kama ulikua hujui wizkid ndiyo alichukua tuzo ya international act Africa kwenye BET black coffee alichukua tuzo katika kipengele cha listeners choice katika BET

Nawasilisha

Ahsante kwa kunisahihisha
Jamaa ana kupotosha na ww una kubali mkuu black coffe alichukua international act aliwashinda diamond, wiz kid, a.k.a n yemi alade na BET walimyima wiz kid tuzo makusudi maana mwaka jana alisema hato udhuria tuzo za BET hadi watakapo acha kuwapa tuzo wasanii wa africa backstage.
Listeners choice ilienda kwa falz wa nigeria
 
Mkuu ujue tatizo la watu kama huyu muanzisha thread wao wanaangalia tu ile success ya mwisho they don't try to think about the number of times mtu ame fail au kuanguka na bado akainuka kuendelea na safari..
Hivi eeh
 
Jamaa ana kupotosha na ww una kubali mkuu black coffe alichukua international act aliwashinda diamond, wiz kid, a.k.a n yemi alade na BET walimyima wiz kid tuzo makusudi maana mwaka jana alisema hato udhuria tuzo za BET hadi watakapo acha kuwapa tuzo wasanii wa africa backstage.
Listeners choice ilienda kwa falz wa nigeria
Shabiki wa Kiba huyo, nilikuwa namuacha aende mkuu.
 
Ila sasa na msanii ukiona unaisha mwaka mzima hujapata hata tuzo za vichochoroni ni shda nyingine hiyo. Hapo jitafakari lazma mziki wako una shida. Maana duniani ziko tuzo nyingi sana kwa kweli, haiwezekani upige kazi ifanye poa halafu ukose hata moja ya kizushi.
hii ni kweli kabisa
 
Jamaa ana kupotosha na ww una kubali mkuu black coffe alichukua international act aliwashinda diamond, wiz kid, a.k.a n yemi alade na BET walimyima wiz kid tuzo makusudi maana mwaka jana alisema hato udhuria tuzo za BET hadi watakapo acha kuwapa tuzo wasanii wa africa backstage.
Listeners choice ilienda kwa falz wa nigeria
anafanya sahihi kabisa BET wanajifanya ya watu weusi wanapinga ubaguzi, wakati wao wanabagua weusi wa afrika kwenye tuzo kwa kuwapa tuzo back stage
 
Kweli yaan kama vipi wasanii wanaoteuliwa BET wote kwa pamoja wakigoma kwenda kwny izo tuzo may be watachange utaratibu huo
 
Sisi watu weusi tunashida, yani wenyewe kwa wenyewe tunabaguana. Wasipoweza kubadilisha basi waache kabisa kutukejeli na tuzo zao
 
Ila ki ukweli ule ni udwanzi, halafu ni kama watu weusi tumejiwekea matabaka, we et wanasema air time imebana , kwani kugawa tuzo inachukua nusu saa pale!!?
Kwa hilo huwa siwaelewi
 
Nikuanzisha kampeni tu wasanii wetu waafrika wasiende,wawaache BET wakae na tuzo zao.
 
Ingekuwa inawezekana ingekuwa poa sana hiyo
Sema c ndo wame mwachia kaka wizkid peke aje ndio a fight
 
Back
Top Bottom