Tuna mgogoro wa ardhi na mhandisi idara ya maji

shamika

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2017
Posts
200
Reaction score
26
Sasa katika mgogor huu imefikia hatua ananitamkia mbele ya uongoz wa baraza la kata kuwa nanukuu "utakufa vibaya juu ya eneo hili " mwisho wa kunukuu.

Je msaada wa kisheria nikamfungulie kesi au tatizo ninaloliona ni kuwa mashahidi wanaweza kunigeuga kwani ni watu wake.

Nifanyeje?
 
Sasa katika mgogor huu imefikia hatua ananitamkia mbere ya uongoz WA baraza LA kata kuwa nanukuu,,,,,,,utakufa vibaya juu ya eneo hili,,,,,,,,,,mwish WA kunukuu
Je msaada WA kisheria nikamfungulie kes au tatz naloliona ni kuwa mashaid wanaweza kunigeuga kwan ni wat wake

Nifanyeje?

Maelezo yako hayajitoshelezi, kama unahitaji msaada wa kisheria, nitumie ujumbe (PM) ili nikusaidie kwa malipo.
 
Nadhani ulikua na maana ya Mhandisi idara ya maji, anyway labda kuna waandishi wa habari idara za maji, lakini kama maana yako ni Engineer wa maji ni Mhandisi siyo mwandishi.
 
Yes engineer
 
Huyu anaetaka uPM ili akusaidie jambo dogo kama ilo ni mjinga na usifanye hivyo, wanasheria hatuko hivyo.
 
Sasa mkuu hujatoa maelezo ya kueleweka hapa tunakosa namna ya kukusaidia, je tukusaidie kwenye kiwanja au tukusaidie ulivyotishiwa kuuliwa?

Ila next time ukienda kwenye huo mkutano wa kata lianzishe maksudi alafu toa simu yako uanze kumrekodi uyo injinia utakua umepata ushaidi mzuri na mkubwa sanaa na utakusaidia sanaa,,. Ushaidi wa namna ya recording audio unakubaliwa na kupokeleka mahakamani.
 
Athante sana MKUU ntafanyia kaz ushaur wako

Lakini pia vipi eti kuhusu hili eti shamba tulienda kupima na baraza LA ardhi LA kata na kukuta limezidi kwa vipimo vyake vya
70m kwa 70m zimetoka ekari Tisa
Vipimo vyetu vya 80m kwa 50m zimepatikana ekari kumi na moja

Na yeye aliuziwa na bibi ekari 6 kwa maandish je
Tunafanyaje msaada wako MKUU

Note:baraza LA ardhi LA kata wanadai watampimia kwa 70m kwa 70m ambapo ni tofaut na vipimo vya kitaalam na kuna viashiria vya rushw ndiy maana wazeee WA baraza wamekomaa hivo

What can I do sir?
 
Well, kitu kizuri ni kua mkataba wa mauziano ya shamba unataja kua mauziano hayo yatakua ya ekari 6 tu, then sheria itafuata mkataba huu kama ulivyo na kuheshimu pia, usiogope hata wakipeana rushwa vp na kuamua vp basi lazima mtapata lililo la haki tu. Kitaalam hekari moja ni sawa na mita 4046 na hapa itaamliwa kupimwa ekari 6 upya.... sheria ya mahakama ya mahakama ya ardhi inakataza baraza la ardhi kuskiliza kesi ambazo zina thamani ya zaidi ya milion 3 sasa hapo hujasema bibi alimuuzia jamaa kwa kiasi gani, lakin wakiamua tofauti basi itakua vyema sanaa mkikata rufaa na kuipeleka kesi ktk baraza la ardhi na nyumba la wilaya uko kesi itaratibiwa kitaalam zaidi na maprofeshino kwakua baraza la kata lipo kusuruhisha kishikaji na kiasiri
 
Million 2 na laki 7
Na ilikua 2013
 
Huyu anaetaka uPM ili akusaidie jambo dogo kama ilo ni mjinga na usifanye hivyo, wanasheria hatuko hivyo.

Mimi ni mwanasheria kamilifu, kumuita mwenzako "MJINGA" ni kukosa maadili.

Kumwambia atume ujumbe sio jambo baya, atapa muda wa kunieleza jambo lake kwa kina na nitapata nafasi ya kutoa ushauri stahiki.
 
Well, kitu kizuri ni kua mkataba wa mauziano ya shamba unataja kua mauziano hayo yatakua ya ekari 6 tu, then sheria itafuata mkataba huu kama ulivyo na kuheshimu pia, usiogope hata wakipeana rushwa vp na kuamua vp basi lazima mtapata lililo la haki tu. Kitaalam hekari moja ni sawa na mita 4046 na hapa itaamliwa kupimwa ekari 6 upya.... sheria ya mahakama ya mahakama ya ardhi inakataza baraza la ardhi kuskiliza kesi ambazo zina thamani ya zaidi ya milion 3 sasa hapo hujasema bibi alimuuzia jamaa kwa kiasi gani, lakin wakiamua tofauti basi itakua vyema sanaa mkikata rufaa na kuipeleka kesi ktk baraza la ardhi na nyumba la wilaya uko kesi itaratibiwa kitaalam zaidi na maprofeshino kwakua baraza la kata lipo kusuruhisha kishikaji na kiasiri
Kaka hukum tayar Leo tumemgaragaza kaambiwa pare akapimiwe ekari 6 na sis 4 lakin waja hainisha wapime kwa vipimo gani
 
Back
Top Bottom