Sasa katika mgogor huu imefikia hatua ananitamkia mbere ya uongoz WA baraza LA kata kuwa nanukuu,,,,,,,utakufa vibaya juu ya eneo hili,,,,,,,,,,mwish WA kunukuu
Je msaada WA kisheria nikamfungulie kes au tatz naloliona ni kuwa mashaid wanaweza kunigeuga kwan ni wat wake
Nifanyeje?
Athante sana MKUU ntafanyia kaz ushaur wakoSasa mkuu hujatoa maelezo ya kueleweka hapa tunakosa namna ya kukusaidia, je tukusaidie kwenye kiwanja au tukusaidie ulivyotishiwa kuuliwa?
Ila next time ukienda kwenye huo mkutano wa kata lianzishe maksudi alafu toa simu yako uanze kumrekodi uyo injinia utakua umepata ushaidi mzuri na mkubwa sanaa na utakusaidia sanaa,,. Ushaidi wa namna ya recording audio unakubaliwa na kupokeleka mahakamani.
Well, kitu kizuri ni kua mkataba wa mauziano ya shamba unataja kua mauziano hayo yatakua ya ekari 6 tu, then sheria itafuata mkataba huu kama ulivyo na kuheshimu pia, usiogope hata wakipeana rushwa vp na kuamua vp basi lazima mtapata lililo la haki tu. Kitaalam hekari moja ni sawa na mita 4046 na hapa itaamliwa kupimwa ekari 6 upya.... sheria ya mahakama ya mahakama ya ardhi inakataza baraza la ardhi kuskiliza kesi ambazo zina thamani ya zaidi ya milion 3 sasa hapo hujasema bibi alimuuzia jamaa kwa kiasi gani, lakin wakiamua tofauti basi itakua vyema sanaa mkikata rufaa na kuipeleka kesi ktk baraza la ardhi na nyumba la wilaya uko kesi itaratibiwa kitaalam zaidi na maprofeshino kwakua baraza la kata lipo kusuruhisha kishikaji na kiasiriAthante sana MKUU ntafanyia kaz ushaur wako
Lakini pia vipi eti kuhusu hili eti shamba tulienda kupima na baraza LA ardhi LA kata na kukuta limezidi kwa vipimo vyake vya
70m kwa 70m zimetoka ekari Tisa
Vipimo vyetu vya 80m kwa 50m zimepatikana ekari kumi na moja
Na yeye aliuziwa na bibi ekari 6 kwa maandish je
Tunafanyaje msaada wako MKUU
Note:baraza LA ardhi LA kata wanadai watampimia kwa 70m kwa 70m ambapo ni tofaut na vipimo vya kitaalam na kuna viashiria vya rushw ndiy maana wazeee WA baraza wamekomaa hivo
What can I do sir?
Million 2 na laki 7Well, kitu kizuri ni kua mkataba wa mauziano ya shamba unataja kua mauziano hayo yatakua ya ekari 6 tu, then sheria itafuata mkataba huu kama ulivyo na kuheshimu pia, usiogope hata wakipeana rushwa vp na kuamua vp basi lazima mtapata lililo la haki tu. Kitaalam hekari moja ni sawa na mita 4046 na hapa itaamliwa kupimwa ekari 6 upya.... sheria ya mahakama ya mahakama ya ardhi inakataza baraza la ardhi kuskiliza kesi ambazo zina thamani ya zaidi ya milion 3 sasa hapo hujasema bibi alimuuzia jamaa kwa kiasi gani, lakin wakiamua tofauti basi itakua vyema sanaa mkikata rufaa na kuipeleka kesi ktk baraza la ardhi na nyumba la wilaya uko kesi itaratibiwa kitaalam zaidi na maprofeshino kwakua baraza la kata lipo kusuruhisha kishikaji na kiasiri
Huyu anaetaka uPM ili akusaidie jambo dogo kama ilo ni mjinga na usifanye hivyo, wanasheria hatuko hivyo.
Kaka hukum tayar Leo tumemgaragaza kaambiwa pare akapimiwe ekari 6 na sis 4 lakin waja hainisha wapime kwa vipimo ganiWell, kitu kizuri ni kua mkataba wa mauziano ya shamba unataja kua mauziano hayo yatakua ya ekari 6 tu, then sheria itafuata mkataba huu kama ulivyo na kuheshimu pia, usiogope hata wakipeana rushwa vp na kuamua vp basi lazima mtapata lililo la haki tu. Kitaalam hekari moja ni sawa na mita 4046 na hapa itaamliwa kupimwa ekari 6 upya.... sheria ya mahakama ya mahakama ya ardhi inakataza baraza la ardhi kuskiliza kesi ambazo zina thamani ya zaidi ya milion 3 sasa hapo hujasema bibi alimuuzia jamaa kwa kiasi gani, lakin wakiamua tofauti basi itakua vyema sanaa mkikata rufaa na kuipeleka kesi ktk baraza la ardhi na nyumba la wilaya uko kesi itaratibiwa kitaalam zaidi na maprofeshino kwakua baraza la kata lipo kusuruhisha kishikaji na kiasiri
Hongereni sanaa wakuu, Mungu ni mwema sanaa.Kaka hukum tayar Leo tumemgaragaza kaambiwa pare akapimiwe ekari 6 na sis 4 lakin waja hainisha wapime kwa vipimo gani
Yeah man, i told you.Athante hakika hakuna linaloshindikana kwake
Muache apoteze muda mkuu, ni madai ya kijinga sanaa anafanya, bibi hajasainishwa bogaz treaty uzuri.She said that she gonna appeal