Tuna mikwara sana Watu wa Dar es Salaam, kila Mtu mtemi

Hiyo picha ya Dr Gilbert umeitoa wapi? Au wewe ndo Dr Gilbert mwenyewe?
 
Sio Saloon ni Salon.
 
Mkwara ipo kwa askari wa suma jkt wa huku mjini haswa pale utumishi.
Maskini wale vijana wanaoenda kwenye udahili wanaonekana mbwa, na wenyewe ndo banda la mbwa
 
Kumbe una nyodo za kinyakyusa tokeaa.
Cha kumzingua babu yako hujui matunda hayo hayo kasomesha wanae, nyoko yako.

Utoke tandale ukanyoe salon hukooo kisa alinyoa mwinyi, sasa wewe mwenye gari na anayeendeshwa hapo nani wa kumshauri mwenzie.

Ujue tuna hasira na huyo dadako wa kiume, usiogope majibu.
 
Mkwara ipo kwa askari wa suma jkt wa huku mjini haswa pale utumishi.
Maskini wale vijana wanaoenda kwenye udahili wanaonekana mbwa, na wenyewe ndo banda la mbwa
Si kweli, jana niliingia Utumishi kwa mambo yangu binafsi mbona hao security wa lango kuu na kule ndani gorofani wale madada wote wamenihudumia vizuri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…