Tatizo mtoto wetu hapendi kula, zaidi ya ziwa la mama yake nakidogo uji (kwa mbinde) .Sioni tatizo kwakua makosa yameshafanyika jitahidi lishe bora kwa Mtoto na mama pia ila wakati mwingine muwe wangalifu tu.
Tatizo mtoto wetu hapendi kula, zaidi ya ziwa la mama yake nakidogo uji (kwa mbinde) .
Sasa haiwezi kumletea matatizo tukimuachisha ziwa.
Kuna wazo linaniambia nibora kutoa, lkn najiuliza itakuaje tukitoa arafu muda si mrefu ikaingia nyingene? Ndio maana nimeona nibora nipate eliminate ya Uzazi wa mpango wenda ikani saidia.

Mkuu, jana tulikua tunashauriana cha kufanya na Sehem wako (Bila fact zozote kuhusiana na swala hili) jambo kubwa tulilokua tunaogopa ni kuharibu mtoto wetu tulionae.Usijali mkuu mi Wa kwangu miezi saba tu mimba cn namna do go anapiga msosi mseto mixture maziwa ya ngombe maisha yanaenda.
Mkuu vipi ukuaji wa mtoto wetu huyu tulie nae, hatuwezi kuuwathiri?Hakuna makosa hapo. Zamani tulizaliwa watoto tunapishana miaka miwilimiwili. Maana yake ni kuwa, mtoto alipokuwa na mwaka mmoja na robo mpaka miwili, basi mimba nyingine ilitungwa.
So kinachotakiwa hapo ni kumshauri namna ya kufanya.
Mkuu vipi ukuaji wa mtoto wetu huyu tulie nae, hatuwezi kuuwathiri?
Mkuu kumbuka huyu ananyonya.Hadi huyo mtoto anatoka huyu wa sa hivi si atakua anachezea miwili kabisa.. Hakuna mbaya hapo unless ulitaka wapishane 3+ years