Tuna mtoto wa mwaka 1 na miezi 3 tayari mke wangu ana ujazito. Nisaidieni mawazo

Tuna mtoto wa mwaka 1 na miezi 3 tayari mke wangu ana ujazito. Nisaidieni mawazo

Mwambie mkeo aende kliniki
Atapewa ushauri
Asifiche amuelezee doctor
 
Siyo mbaya kwan situliagizwa tufyatue nn shida..??
 
Back
Top Bottom