Tuna mtoto wa mwaka 1 na miezi 3 tayari mke wangu ana ujazito. Nisaidieni mawazo

Heri yako wewe. mke wangu ana ujauzito wa miezi 4, mtoto ana mwaka moja. tuliamua kufanya hivyo
 
Sioni tatizo kwakua makosa yameshafanyika jitahidi lishe bora kwa Mtoto na mama pia ila wakati mwingine muwe wangalifu tu.

nao;
Mbona unampa maneno mabaya hivyo mwenzio?? Amefanya kosa gani huyo? Tena unamwambia ati awe mwangalifu yaani niwe mwangalifu kufanya tendo halali la ndoa na mke wangu?
Muhusika ni hivi:
Kwanza una watoto wangapi? Mna mpango wa kupata watoto wangapi? Wakati wa kuzaa ati mpaka watoto waishe humo umeshapitwa. Panga ni wangapi, zaa kila siku itimie idadi yako. Fungeni kabisa kizazi. Mama awalelee watoto wake vizuuri miaka 2 to tayari amepata nguvu ya kutoka kutafuta hata kama ni kuuza vitumbua. Ataleta mkate wewe utaleta maziwa. Mtaishi maisha saafiii naye mama hatakongoroka haraka. Mtu asikuambie atii mtoto wa mapema ni kosa. Nilidhani unasema umezaa na mke wa mtu kumbe mkeo.
Fuata mawazo haya na utajaniambia siku moja
 
Wewe usiogope mimi wakwangu wamepishana miezi 9 na wote wana afya mzuri sana yani kama mapacha na nafurahia kweli ilimladi rishe iwepo mzuri watakuwa vizuri maisha yakupishana miaka 3 yako wapi yani ukichelewa sana mwaka mmoja na nusu
 
Hapo mnapojadiliana ndo tayari Family planning sema kwa sheria za nchi yetu mmechelewa but unaposema Family Planning ni makubaliano ya wazazi yaani mke na mume kuhusu idadi ya watoto ambao wanawataka na watazaliwa kwa kipindi cha muda gani (interval) na kwa kutumia mbinu gani za kujikinga na mimba. Kwahiyo kinachotakiwa hapo ni kupata tu ushauri wa kiafya wa nini cha kufanya ili kiumbe kilichopo tumboni kisiathirike na from there mjipange ili isitokee hiyo changamoto. Na hiyo changamoto ikipita baadae utafurahia maisha hasa wakipita hiki kipindi cha miaka 2 baada ya kuzaliwa
 
Aisee mijitu inatoa una ushauri bila utaalam au kwa mazoea. Kwanza huna sababu ya kutoa hiyo mimba. Lakini pia hujasema umri wa ujauzito. Mtoto anaweza kuendelea kunyonya na asiathirike. Watoto wengine hawali na wazazi wao hawana mimba. Zipo sababu za kutokula ila usisikilize ushauri wa chukua dawa fulani mpe ameze, nenda hospital onana na Daktari atakushauri
 
Mkuu kumbuka huyu ananyonya.
Na kunamtu kinishauri kua kama nataka kuendelea na mimba basi sina budi kumuachisha ziwa huyu nilie nae.

Au haina sababu ya kumuachisha?

Haina haja ya kumuachisha mtt na wala hata dhurika kwa lolote Nina uzoefu nalo maana lilishanikuta. Kinachotakiwa ni mama apate lishe inayostahili
 
Kama kinavo jieleza kichwa cha habari hapo juu.

Elim ya uzazi wa mpango imenipita mbali hivyo upo uwezekano nikaaharibu future ya maisha yangu.

Kwa mwenye utaalam ani elimishe, nisije kurudia tena kosa hilo.

kaka mbona kawaida, lishe tu kwa mtoto manake hawezi nyonya tena. Hata mimi mke wangu alipata mimba wakati mtoto ana mwaka.
 

Wazo la kutoa achana nalo. Huyo mtoto ni halali mkuu. Nenda kituo cha afya wakusaidieni kujua namna ya kulisha huyo mtoto lishe bora na vile vile mlo kamili kwa mama kijacho. Pia watakuelekezeni namna ya kufanya uzazi wa mpango. Merahisisha kazi lakini... mtawalea kwa pamoja.
 
mwaka na miezi kibao hivo, mbona haina tatizo kabisa hiyo??

kikubwa huyo mdogo aache kunyonya umnunulie maziwa ya kopo ale vizuri
 
Zaeni mkaongezeke, mkaijaze nchi na kuitiisha. so ni full kuzaa tuuu... akijifungua piga nyingine fasta fast
 
mbnona sio mbaya jiandae na huyo mtoto mwingine no way aout mjomba imenasa imenasa
 
Lea mimba upate mtoto wa pili kibiologia hakuna mazara yoyote mwambie waif aendelee kunnyonyesha akimwachisha kuna hatar akapata kwashiorkor(ukosef wa protein kama tunavyojua maziwa ya mama yana virutubisho vyote)...usisikilize popular belief wanaosema mtoto ataharibika mm nakushaur kama mtaalamu wa afya(unaeza kwenda clinic ya karibu kwa elimu zaid)
 
hiyo ni kawaida sana wengi imetutokea hivyo be calm
 
Hakuna kosa kubwa ulilofanya, mara nyingi inashauriwa interval ya mtoto kwa mtoto ni miaka 3, hapo soon mwachishe mtoto nyonyo na uborehse lishe ya mtoto na mama yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…