Tuna shida Kubwa sana ya Wataalam wa Magari katika Maeneo haya

Mbona amesema specification za manufacturer zikoje na ushauri anaopewa sababu imepita kms 100,000

 
Pole sana hapo ndipo unapoona faida ya DARASA, THEORIES , Mhe kumbuka 99.9% wataalam wetu walioko mitaani ni wale aidha hakusoma kbs hata darasa moja au darasa la saba failure ndio wanaanza u boy spanner hadi kuwa fundi.
Hata weza kabisa kujibu chochote kwa swali la HOW hiyo theory hana. anajua tu kubadili parts au ame kariri dama ya fungua funga tu

Ushauri wangu kwako cheza na 1. International Motorists Blogs kama za India, Singapore, U K n.k. 2. Tumia YOUTUBE karibu kila kitu utakipata na kufundishwa vizuri sana kama hilo la oil 3. Tafuta materials kwa ku google

Naamini maswali yako yoote utapata jibu, tunachangamoto kubwa sana hasa ukipata tatizo la automobile electronics kama vile control box/unite defaults itakuwaje ?
 
Boss hio 5W30 kwa 60,000 ni very fair price. Achana na hizo SAE40 za 28,000. 5w40 same price na 5W30. Tumia 5W40 inaenda 10,000k mara tatu ya SAE40 huoni gharama inapungua? Ila kwa mazijgira yetu ikifika km5000 au 6000 badili
Mkuu nadhani kuna vitu mnachanganya hapa km kutumia Inches na Centimeter kwa pamoja au pounds na kilograms japo mm sio mtaalam :

The motor oil grade is usually written as follows “XW-XX”. For example: SAE 10W-30, SAE 10W-40 or SAE 30. We already know what SAE stands for now let’s try to understand the other characters. “W” refers to ‘Winter’ and not weight as many people think. The number mentioned before W indicates the oil flow at 0 degrees Fahrenheit (-17.8 degree Celsius), which means that the lower that number, the less that oil will thicken in cold condition. In countries where the climate is usually cold, a motor oil with 0W or 5W viscosity would be ideal.
 
Angalia wewe usijekuwa ndio anaechangany vitu.
 
Angalia wewe usijekuwa ndio anaechangany vitu.
Kwa uelewa wangu mdogo ninaoujua oil za magari zinawekwa kulungana na specification zake ambazo zinapatikana kwenye manual ya kitabu baada ya kununua gari na ieleweke tu asilimia 80% ya watanxania wananunua magari ambayo yameshatumika katika nchi nyingine hivyo oil ambayo huwa imekuwa recommended kwenye kitabu ni kwa gari ikiwa mpya tu lakini ikishafikisha kipindi kadhaa huwa wanashauri utumie oil ya namna gani! Kwanza tutambue kuna makundi makuu matatu ya oil

Kundi la kwanza ni la oil ambayo ni nyepesi sana Mara nyingi hizi zinapatikana kutokana na material ambayo yametokana na malighafi zilizotoa petrol ambapo huwa zinaandikwa conventional oil

Kundi la pili ni hizi oil ambazo zimeandikwa semi synthetic oil au conventional blend hizi ni oil ambazo zinapatikana baada ya kuchanganywa kwa material yaliyotoa petrol pamoja na chemical za viwandani

Na oil ya tatu ni full synthetic oil ambayo hii ni oil ambayo zinapatikana kwa kutengenezwa kwa chemical mbalimbali kutoka maabara na zinaaminika kuwa na viscosity (mgandamizo) mkubwa
Sasa tuachane na hizi drama za kusema natumia 5w40 au 0w20 au 10w40 nk hizi ni no tu kulingana na zinavyotengenezwa na endapo gari yako umeambiwa tumia 5w30 utakachokifanya wewe ni kuangalia kama gari yako imeshatembea umbali mrefu unatakiwa kuweka 5w30 ambayo ni full synthetic kwa ajili ya kulinda msuguano wa vyuma kwenye engine ikumbukwe kadri gari inavyokuwa na umri mrefu ndivyo nguvu ya engine inapungua uwezo na hata ukikoswa oil hiyo hawa watengenezaji huwa wanaweka mbadala wake kikubwa wanashauri tumia oil kulingana na hali ya hewa ya nchi husika kama nchi unayoish ina joto Kali unashauliwa kutumia oil yenye viscosity kubwa na kama nchi ni barid sana mfano wa nchi za ulaya unashauriwa kutumia oil yenye viscosity ndogo na thut's y magari mengi ya UK wanatumia oil ya 0w20 kwani sehemu ambayo ni baridi unatakiwa utumie oil yenye mgandamizo mdogo ili iwah kuchanganywa zaidi kwahyo point hapa ipo kuangalia kati ya hayo makundi matatu ya oil nitumie ipi kulingana na mahali nilipo
 
ONGEZEA NA API GRADES HIZI NDIO GRADES ZA ENGINE OILS
 
Siku hizi sipendi kupoteza muda nimekuwa mvivu kuandika hata mistari miwili
 

Mkuu naomba namba yako
 
Ngoja kwa kuwa hili ni jukwaa letu .ngoja nijifunze jinsi ya kupakia file na softwere jf ili kila mdau aweza kufaidi maisha ya magari na technologia ni marahisi sana kila kitu kiganjani mwako..na softwere nyingi sana ww utapata kila kitu kwenye gari yako ni mwendo wa kuingiza chasisi number harafu unapata takataka zote utakazo..

Ukitaka spare sijui gari yako inatumia oil gani.unapata humo
 
Shule kubwa...thank you
 
Dah mi huwa nafuata maandishi..ngoja kesho nikabadilishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…