WAKATI UNACHAGUA GARI LA KUNUNUA ,SWALI JE UNACHAGUA AINA YA BODY LINALO BEBA INJINI AU AINA YA INJINI ??
Niswali la kijinga sana na swali zuri nineona tushare pamoja, watu wengi nimeona sana hungaika jinsi ya kununua magari ,
Wapo wengine huja watu kibao wakijazan kwenye gari kuja kukagua gari, au mke anabeba mume hata kama mume ana digrii ya mapishi au fundi ujenzi akidhani ana uelewa wa magari , wengine hubeba mke akija kuangalia gari lipi wanunue ,wakati mke hajui hata huwa wanaweka oil au maji.
KWANINI NASEMA HIVYO
Nimeona watu wakipata hasara kuagiza gari akiwa anangaliaa rangi cc na gari imetembea kilometa ngapi, yani hivo kwake ameona kama amesamehewaa dhambi mbinguni,kumbe gari likija sasa anakimbilia kuuza, kwa kisingizio nataka kubadili gari.
SASA KIPI KIFANYIKE??
Kwanza ya kuanza kujua uchague kwa kuangalia vigezo vipi hemu kwanza tuangalie mtazamo wa watengenezaji wa magari hutizama nini , haya sasa hemu pikicha mavho tayari kwa kufatilia;
Watengenezaji wa magari kila mwaka wakitengeneza magari hufikiria body gani au desgn gani ya body litengenezwe kukidhi mteja??
Kwenye body au model huzingatia nini??
•Huangalia zaidi muonekano mzuri na angle za
Gari
•Huangalia usalama wa mtumiaji
•Huangalia zaidi umaridadi wa ndani na nje,kamaa taa,show ya mbele,ndani kama radio na seats za kupendeza (kama ziwe velvex au leather)
Kwa Upande wa Injini mainjinia wengi wa magari hapa huamua kwa ujumla waboreshe nini kwenye injini zao zilizotengenezwa nyuma
Mara nyingi hutizama ulaji wa mafuta na speed na nguvu ya injini.
Hivyo tekinolojia /mfumo au phase moja ya injini hukaa muda mrefu, kwa mfano kwa sasa mfumo waa VVTi na D4s ni mfumo wa muda mrefu kidogo nadhani bado hakuna invention mpya kwa sasa
Ila wao huamua watengeneze injini hizo hizo kwa CC kubwa au ndogo, kwa kupunguza ukubwa wa piston na idad ya piston ila tecknolojia moja na mfumo mmjaa.
Watatengeza 1NZ,2NZ,1AZ,2AZ , IJZ,2JZ,IKD,2KD, IZZ ,IKR ,4GR
Japakuwa injini nyingi za toyota hapa Tanzania
Tunanua familia ya AZ injini , ambazo ni matokeo ya muendelezo wa injini za S series, tulisikiaga 4s,3s ,5s na nyinginezo zenye mfumo wa distributor lakini leo tuna familia ya AZ , ndo maana tuna 1ZZ,2NZ,1NZ
sasa hapo ndio umakini unahtajika,ni mfumo mmoja ila CC tofauti,na watalaamu jinsi unavo nunua injini ya CC ndogo ndivyo uimara hupungua zaidi.
Kwa UJUMLA ikoje.
Sasa kila designer /body wa gari, huchagua injini afunge ?? Iwe D4, au AZ, pamoja na ukubwa wa injini ,
Utakuta verossa ina injini 1G na ingine 1JZ sasa ukiikuta VERROSA njiani inaumwa kila siku usihukumu Body la VERROSA ,fahamu kuna injini gani imo humo??
Maana 1G haisumbui kama IJZ. ila utakuta mtu anaihukumu Gari kuwa walikose.
Utakuta PASSO moja ina 1KR FE na nyingine 1KJ , Moja ina Cc 900 na nyingne ni CC 1200. Ila ya cc 900 huwa inaumwa sana kuliko cc 1200. Sasa usikuhukumu PASSO ila injini iliomo . kwa sababu kuna PASSO ni zina cc 1200 sawa na VITS .
Leo tuna KLUGER NA HARRIER , hapo unaachagua body tu, injini na matumizinya mafuta sawa kama zimefungwa familia za AZ , yaani injini ya 2AZ , japokuwa zipo Harrier new model zina 1MZ zinasumbua sana hivyo kuhukumu Toyota Harrier ni mbaya ila inijini.
KWA UJUMLA KAMA WAKIAMUA KUBUNI GARI HUBUNI BODY , KISHA HUCHAGUA INJINI TAYARI AMBAZO ZIPO NA KUFUNGA
NDIYO MAANA UNAKUTA MAGARI MENGI YANA INJINI MOJA TU. HUCHAGUA INJINI GANI ZINAFANYA VIZURI ZAIDI.
NDO MAANA IZZ, 2AZ ni zimefungwa zaidi katika magari mengi.
Kipi kifanyike, unaponunua??
Unapo nunua fahamu unanunu injini familiaa gani ? Hapa ndio injini zote za toyota, zimepangwa kwa Herufi .
List of Toyota engines
A
Toyota A engine
Toyota Type A engine
Toyota AD engine
Toyota AR engine
Toyota AZ engine
B
Toyota B engine
Toyota Type B engine
C
Toyota Type C engine
Toyota C engine
Toyota CD engine
Comparison of Toyota hybrids
E
Toyota E engine
Toyota Type E engine
F
Toyota F engine
Toyota FZ engine
G
Toyota G engine
Toyota GD engine
Toyota GR engine
Toyota GZ engine
H
Toyota H engine
Toyota HD engine
Toyota HZ engine
J
Toyota J engine
Toyota JZ engine
K
Toyota K engine
Toyota KD engine
Toyota KR engine
Toyota KZ engine
L
Toyota L engine
Toyota LR engine
M
Toyota M engine
Toyota MZ engine
N
Toyota N engine
Toyota ND engine
Toyota NR engine
Toyota NZ engine
P
Toyota P engine
Toyota PZ engine
R
Toyota R engine
Toyota RZ engine
S
Toyota S engine
Toyota SZ engine
Toyota Type S Engine
T
Toyota RI4A
Toyota T engine
Toyota TR engine
Toyota TZ engine
U
Toyota U engine
Toyota UR engine
Toyota UZ engine
V
Toyota V engine
Toyota VD Engine
Toyota VZ engine
W
Toyota W engine
Toyota WW engine
Y
Toyota Y engine
Z
Toyota ZR engine
Toyota ZZ engine
KUANZIA LEO JIULIZE UJIHUKUMU KUWA HUWA UNA NUNUA AINA YA BODY AU INJINI?? UNAPENDA IST KWA SABABU YA AINA YA INJINI ILIOMO HAITUMII MAFUTA ?. AU MBONA KUNA RUNX NA ALLEX NI BORA KULIKO IST KATIKA MATUMIZI ??