Tuna Tanzania/Tanganyika moja tu tusiangalie leo tuangalie kesho ya hili Taifa

TumainiEl

Platinum Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
7,280
Reaction score
14,342
Hakuna mahali duniani chama au mtu ameweza kutawala bila kufika mwisho wengine waliuwa na kuchinja mkoa mzima bado hawakuweza kutawala milele.

Tuna kipenda chama cha ccm tangu wa zee wetu na baba yetu Mwl Nyerere ila ninkwanini watanzania wamechoka na kwa nini watu wanahaha kuwa na chama kingine na wapo tayari kuisahau ccm nilazima wana idara na chama na wazee mkae chini nakulitafakari kuepusha dam. Dam kama Kenya, dam kama Kongo, dam kama Misri, dam kama Libya, dam kama SA, dam kama Kenya, Uganda, Sudan, Angola nk.

Je mnataka chama cha wana nchi au chama cha watu fulani? Chama cha kifalme chama cha kikundi au chama cha mtu fulani.

Hata waliopo ndani wamechoka kwanini wanaona nakuona na wao wanataka kula sasa ndio maana na sema kama vipi tuwe na chama kimoja na kiwe kama china 🇨🇳 sio kuweka ulimbo wa vyama vingi na kusababisha damu

Hatuna Taifa lingine ila Tanzania. Hatuna nchi nyingine nzuri kama Tanganyika... why tunaumizana je hamjuwi dam inadai haki pale inamwagwa bila sababu za msingi? Mmesahau dam ya Patrick Lumumba inaitesa DRC mpaka leo nchi haijapoa.. shida sio dam kumwagwa ila kuna dam ukimwaga una acha cheche za moto... Angalia Hamasi na Iran kilicho wakuta yote ni dam dam. Tunataka amani na kama siasa hatuwez futa vyama basi.
 
Mimi kwa ccm hii ya kikundi cha watu wachache wanaofaidi madaraka, huki wengi wakiishi maisha ya kuunga unga! Watanisamehe kwa kweli. Mabadiliko ni lazima. Na Lissu ndiye chaguo la wengi.
 
Hakuna mahali duniani chama au mtu ameweza kutawala bila kufika mwisho wengine waliuwa na kuchinja mkoa mzima bado hawakuweza kutawala milele.
Tuna kipenda chama cha ccm tangu wa zee wetu na baba yetu Mwl Nyerere ila ninkwanini watanzania wamechoka na kwa nini watu wanahaha kuwa na chama kingine na wapo tayari kuisahau ccm nilazima wana idara na chama na wazee mkae chini nakulitafakari kuepusha dam. Dam kama Kenya, dam kama Kongo, dam kama Misri, dam kama Libya, dam kama SA, dam kama Kenya, Uganda, Sudan, Angola nk.

Je mnataka chama cha wana nchi au chama cha watu fulani? Chama cha kifalme chama cha kikundi au chama cha mtu fulani.
Hata waliopo ndani wamechoka kwanini wanaona nakuona na wao wanataka kula sasa ndio maana na sema kama vipi tuwe na chama kimoja na kiwe kama china 🇨🇳 sio kuweka ulimbo wa vyama vingi na kusababisha dam
Hatuna Taifa lingine ila Tanzania. Hatuna nchi nyingine nzuri kama Tanganyika... why tunaumizana je hamjuwi dam inadai haki pale inamwagwa bila sababu za msingi? Mmesahau dam ya Patrick Lumumba inaitesa DRC mpaka leo nchi haijapoa.. shida sio dam kumwagwa ila dam ukimwaga una acha cheche za moto... Angalia Hamasi na Iran kilicho wakuta yote ni dam dam. Tunataka amani na kama siasa hatuwez futa aataiilvyama basi.
CCM wana akili kuliko watanzania wote, kikikiki

Chama Dola chenye uwezo wa kukopa hadi deni likafika 97 tirioni na hilo deni likawa himilivi

Mimi nafahamu fika kwamba mikopo inadumaza akili ushahidi ni mikopo iliyotapakaa mitaani imesababisha jamii isahau kubuni mbinu za kudumu za kujiingizia kipato, mikopo mingi iliyoko mitaani ni yakitapeli ama unyang'anyanyi
 
Na bado.

Damu ya Ben Saanane iliacha cheche hadi tukafukia majivu ya waya pale chato .

Power is transient.
 
Hata isipoitwa Tanganyika au Tanzania, ardhi itabaki ileile bahari haihami, hewa ni ileile na watu wataendelea kuzaliana. Kwa hiyo tusitishane saana na hii mipaka ya kikoloni.
 
Hakuna mahali duniani chama au mtu ameweza kutawala bila kufika mwisho wengine waliuwa na kuchinja mkoa mzima bado hawakuweza kutawala milele.

Tuna kipenda chama cha ccm tangu wa zee wetu na baba yetu Mwl Nyerere ila ninkwanini watanzania wamechoka na kwa nini watu wanahaha kuwa na chama kingine na wapo tayari kuisahau ccm nilazima wana idara na chama na wazee mkae chini nakulitafakari kuepusha dam. Dam kama Kenya, dam kama Kongo, dam kama Misri, dam kama Libya, dam kama SA, dam kama Kenya, Uganda, Sudan, Angola nk.

Je mnataka chama cha wana nchi au chama cha watu fulani? Chama cha kifalme chama cha kikundi au chama cha mtu fulani.

Hata waliopo ndani wamechoka kwanini wanaona nakuona na wao wanataka kula sasa ndio maana na sema kama vipi tuwe na chama kimoja na kiwe kama china 🇨🇳 sio kuweka ulimbo wa vyama vingi na kusababisha damu

Hatuna Taifa lingine ila Tanzania. Hatuna nchi nyingine nzuri kama Tanganyika... why tunaumizana je hamjuwi dam inadai haki pale inamwagwa bila sababu za msingi? Mmesahau dam ya Patrick Lumumba inaitesa DRC mpaka leo nchi haijapoa.. shida sio dam kumwagwa ila kuna dam ukimwaga una acha cheche za moto... Angalia Hamasi na Iran kilicho wakuta yote ni dam dam. Tunataka amani na kama siasa hatuwez futa vyama basi.
Ndio muache kuhamasisha uasi na machafuko Sasa
 
Kauli hizi ndo mtaji wa ccccccm kwa wananchi wake walalahoi wasiojua maana ya Tanganyika kuwa HURU.
 
Back
Top Bottom