Tuna uhakika ni kampuni ya UAE kweli?

Tuna uhakika ni kampuni ya UAE kweli?

mirindimo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Posts
901
Reaction score
1,742
Hii nchi tumepigwa sana unaweza kuta kuna dalali hapa kati kapiga mchongo kachukua tenda na hakuna kitu kama UAE hii nchi tumepigwa left right and center

81F9ACDF-99BF-4014-B62A-837DC1B220B0.jpeg
 
Mirindimo shida nini, tatizo kurudisha mtindo wa kadi katika ununuzi wa tickets au tatizo hiyo kampuni iliyoshinda tenda
 
Kampuni kama hiyo tokea Dubai illimbwa sana wakati Mjomba Magu akiwa bado Raisi.
Ila mleta habari ametuchia kitendawili,Sisi tunachotaka ni huduma rahisi,salama na haraka.
 
cdm walivyo na uchu na hii nchi wakija kushika hatamu tutapigwa kama ngoma.
 
Back
Top Bottom