Hii nchi tumepigwa sana unaweza kuta kuna dalali hapa kati kapiga mchongo kachukua tenda na hakuna kitu kama UAE hii nchi tumepigwa left right and center
Kampuni kama hiyo tokea Dubai illimbwa sana wakati Mjomba Magu akiwa bado Raisi.
Ila mleta habari ametuchia kitendawili,Sisi tunachotaka ni huduma rahisi,salama na haraka.