Vijana wengi hasa wa CCM wanadhani Katiba ya JMT ni mali ya chama inaamuliwa na vikao vya chama which is very wrong. Hebu angalia matamshi ya viongozi kama hawa.
Shaka Hamdu: "CCM haina agenda ya katiba mpya kwa wakati huu badala yake kipaumbele zaidi kimewekwa katika kujenga nchi kwa ukamilishaji wa miradi mikubwa ya kimkakati, kupambana na umasikini".
Katibu UVCCM Morogoro: "Swala la katiba mpya sio kipaumbele kwa mkulima aliyeko kijijini yeye anawaza pembejeo, huduma ya afya, barabara nzuri, shule zenye ubora wa utoaji wa elimu n.k".
Inawezekana wako sahihi kwa upeo wao lkn tuwaambie kuwa Katiba ya JMT haina chama ni mali ya Watanzania wote ni MAMA wa sheria zote zinazoongoza nchi ni MAMA wa kanuni zote na miongozo yote na mipango yote iwe ya afya, elimu, maji, barabara, michezo na ustawi wa jamii.
Tuwaambie kuwa KATIBA bora itatengeneza mfumo mzuri wa kupata viongozi bora itatupatia mfumo mzuri wa kupata afya bora elimu bora na barabara bora.
Mtu anaposema yeye hana haja ya katiba bali anachohitaji ni maendeleo huyo mtu ni wa kuhurumiwa inahitaji kazi ya ziada kumwelimisha, hasa inapotokea mtu huyo ni kiongozi na anafanya hivyo kwa makusudi kwa lengo la kuipotosha jamii.