Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Ni mtanzania ?Washauri wapo. Kuna Mzee mmoja aliyekufa juzi juzi hapo ana Degree 7. Ila nilishangaa et ni Afisa tu.. hata Umeneja hana.
Ni mtanzania ?
Hujaelewa swali. Asante kwa mchango wako.TANZIA - Profesa Handley Mafwenga, Mtanzania mwenye shahada 9 afariki dunia
Aliyekuwa Afisa Usimamizi wa Fedha Mkuu Daraja la Kwanza wa Kitengo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP), Profesa Handely Mwafwenga amefariki dunia usiku wa kuamkia leo. Mwafwenga aliyekuwa na elimu ya digrii saba na shahada tatu za uzamivu (PhD) amefariki dunia usiku wa...www.jamiiforums.com
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Ni mtanzania ?
Ww mwenyewe ulichouliza umekisoma vzr?Hujaelewa swali. Asante kwa mchango wako.
Ndiyo, Mnyakyusa na ni mdogo wa yule Mkurugenzi Mkuu wa NEMC Dr Gwamaka!Ni mtanzania ?
= tafadhaliKama swali linavyo uliza hapo juu.
Ningependa kufahamishwa taifa letu lina washauri wangapi wa kimataifa katika uchumi na kutoka nchi gani?
Mwenye kujua anijuze tafadhari.
Umemaliza[emoji817][emoji3581][emoji122]Hata walete maprofesa wa uchumi kutoka mbinguni, Tanzania haiwezi kuendelea bila ya katiba mpya, dira ya maendeleo na misingi imara na endelevu.
Ukishajenga msingi. Unaweka dira. Huu upuuzi wa Rais katoa hela za kujenga shule, sijui katoa hela kujenga hospital ufe.
Tunataka kusikia serikali unajenga miundombinu ili hata Rais mwingine akija awe serikali na sio mtu na wazimu wake.
katiba nzuri na dira ya maendeleo inampa mipaka raisi asijione kajenga yeye, ili kuzuia mwingine mwenye kupenda sifa na ubinafisi kubomoa mifumo ya wwaliomtangulia.