Annie X6
JF-Expert Member
- Mar 16, 2023
- 725
- 1,380
Hoja.
Wengi wanaogopa kusema kwa sababu hizi timu mbili Zina nguvu kubwa. Yaani kama ni Mungu basi ungekuwa Ibada lakini ukweli ni kwamba ulucifer ni hali ya juu sana.
Mimi kama Mimi sipendi serikali kuingalia soka. Hapa namaanisha hata fairness itakiwepo, nikisema serikali ni watu, viongozi wana nguvu kubwa wakisema jambo hata wachezaj na mashabiki wanastuka, vipi kuhusu refa.
Soka ikiwa na nguvu ya serikali au viongozi wa serikali ni kosa maana inaathiri.
Simba imepoteza yanga umepata. Mimi kama Simba nimeumia.
Ila kwa nini injinia kajiunga kwenye siasa?
Kuna tatizo kubwa na Mimi nashindwa hata kuendelea kuandika