Tunaacha kuwaambia ukweli Mashabiki wetu Yanga SC kwanini tumefukuzwa Avic Town tunahangaika kwa Kuwazuga na Sakata la Derby kutokuchezwa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
GENTAMYCINE narudia tena kusema kwa kujiamini kabisa kuwa TUMEFUKUZWA AVIC TOWN kutokana na Madeni kuzidi Ok?
 
Hahaha. Utaandika mengi sana msimu huu. Lakini tukukumbushe tu kwamba wewe siyo mtabiri kama unavyotaka tujue . Mbona hujatawala ya jumamps
 
GENTAMYCINE narudia tena kusema kwa kujiamini kabisa kuwa TUMEFUKUZWA AVIC TOWN kutokana na Madeni kuzidi Ok?
Yanga na madeni ni sawa na mbogamboga na kura feki. Kwa ushahidi usiotiliwa shaka waulize CAS au FIFA.
 
GENTAMYCINE narudia tena kusema kwa kujiamini kabisa kuwa TUMEFUKUZWA AVIC TOWN kutokana na Madeni kuzidi Ok?
Na pia tusema tumekimbia kwa Mkapa tukiogopa Mvua ya Magoli na kufungwa mara tano mfululizo.
 
Back
Top Bottom