Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Pundits wengi wa kiingereza walikuwa wanipa nafasi sana Man Utd na Chelsea kuliko Arsenal, lakini sasa hivi wataanza kujiuliza vizuri.Top four tamu sana Nani Nani itajulikana.
Hii mibeki sijui itakuwaje kwa mziki wa Messi, Dembele na SuarezSmalling,Phil Jones,na Young Pale hakuna Beki...
Hamna beki wa kuizuia MDS hapo wasubiri kapu LA magoli
Timu yenu inaishi kwa morali,bila boost haisogeiWolves wametupania mechi za karibuni hatujapata matokeo
Wanaweza kula mkono,yaani Smalling? Aah yajayo yanafurahisha
Yes,anajipigia tuhivi wolvew si alimgonga man kwenye FA au Emiratrs cuo
wolves liquid
Sent using Jamii Forums mobile app
Combination ya wareno hadi kocha waoMm sjashangaa wolves kupata matokeo Kwa Manchester United Hawa jamaa wamepata points kwa vigogo karibia wote wa top six
Wameshinda ,2-0Leo man city wajiangalie sana. Wale jamaa wanataka kushuka daraja. Watapambana kufa na kupona.
Man u kwa sasa wanatafuta kocha malaika
Sent using Jamii Forums mobile app