Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
- Thread starter
- #21
Mapazia tuSmalling,Phil Jones,na Young Pale hakuna Beki...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mapazia tuSmalling,Phil Jones,na Young Pale hakuna Beki...
Sisi wanatudharau Gunners....ila top 4 lazimaPundits wengi wa kiingereza walikuwa wanipa nafasi sana Man Utd na Chelsea kuliko Arsenal, lakini sasa hivi wataanza kujiuliza vizuri.
Chanzo cha dharau ni kuwa Gunners walipumguza kasi ya kukuza yosso wa Uingereza. Hata timu ya kwanza haina waingereza wa kutosha ndio maana unaona Tottenham anapata support fulani hivi na media.Sisi wanatudharau Gunners....ila top 4 lazima
Ligi bado ngum. Lakin ratiba ya man utd inasikitisha sana.Chanzo cha dharau ni kuwa Gunners walipumguza kasi ya kukuza yosso wa Uingereza. Hata timu ya kwanza haina waingereza wa kutosha ndio maana unaona Tottenham anapata support fulani hivi na media.
Sasa waienglish hawabebeki,mzee Wenger alipambana sana,kina Walcott wakaishia kuandikwa tu magazetiniChanzo cha dharau ni kuwa Gunners walipumguza kasi ya kukuza yosso wa Uingereza. Hata timu ya kwanza haina waingereza wa kutosha ndio maana unaona Tottenham anapata support fulani hivi na media.
Jana Chelsea wameanza akina Loftus Cheek na Hudson Odoi, umesikiliza compliments alizopata Sarri. Media wanasema hiyo ndio Chelsea list of their dreams. But reason behind ni inclusion of the English players kwa kuwa wanapata play time kwenye national team.Sasa waienglish hawabebeki,mzee Wenger alipambana sana,kina Walcott wakaishia kuandikwa tu magazetini
Wainglishi buana wanapiga promo sana ya wachezaji wao japo wengi vilazaJana Chelsea wameanza akina Loftus Cheek na Hudson Odoi, umesikiliza compliments alizopata Sarri. Media wanasema hiyo ndio Chelsea list of their dreams. But reason behind ni inclusion of the English players kwa kuwa wanapata play time kwenye national team.