Tunaasubiria Mashujaa wetu Youngless African Spots Kilabu kuwapokea

Sodoku

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2016
Posts
1,271
Reaction score
2,903
Kwanza natoa pongezi kubwa kwa timu ya yanga kwa kutuwakkilisha katika mashindano hayo na pia wa kufa kishujaa. TP Wazembe walishinda kwa taaaaaabu sana jana vigoli 3 tu dhidi ya Gugoli Gumoja gwa Wanga.

tumefurah kuwa kkwa mara nyingine tena yanga imeonesha ilidhamilia sana kupanda ndege na wamepanda ipasavyo hivyo wanastahii pongezi. tunawapa pongezi kubwa kwa ushiriki wao wa kila mara kwenye makombe haya ya kimataifa.

je Wanga Afrika wanarudi lini? tunataka kwena kuwapokea kwa maandamano ya amani kwa namna ambavyo amefungwa lakini kwa mbiiiiinde sana. mashujaa wwetu hawa wa tanzania.
 
Yanga kimataifa bado sana ni sawa na Gari bovu linalotakiwa kusukumwa likifika mlimani ila wasukumaji wakiishiwa nguvu nao wanaliacha liporomoke
 
Reactions: PNC
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha, huu ni uchokozi wa hali ya juu kabisa tena wakuvunjana mbavu na firigisi!
 
Reactions: PNC
Sisi tunamsubiri Alphonce Kimbu hapa SAKINA KwaIDDI. Nape njoo huku tuna mkakati wa kumjengea nyumba ya kuishi,
 
Yanga Afrika ni sawa na roli la mkaa...tripu moja porini harafu gereji
 
Reactions: PNC
Hongera kwa kujua kua mwakani ni wewe utakae shiriki
 
Yan mimi nilijua unakosea sehemu ya neno yanga kumbe unamaanisha itabidi mzee akili mali avue tena kofia kwaa ajili yako
 
Endelea na kejeli zako lakini mwakani Yanga na Azam ndiyo wawakilishi wetu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…