Tunabadilisha na kuagiza Spare za Smartphones

stormed

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2015
Posts
212
Reaction score
42
dae6eca6e7399755fbb569fd2454baae.jpg

Piga: 0754 60 45 67..
 
I phone 4 yangu imepasuka kioo nyuma na cha mbele havifai vya kubadili ntapenda kujua bei au ntaulizia via whatsup
 
Note 3 yangu haikamati network mafundi wanasema imekufa ac ya network inahitaji kuwekwa nyingine jee hiyo spear mnayo?
 
Mkuu displAy ya simu aina ya infocus naweza kupata?

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Angalia *#06#..kama inayo hizo namba za utambuliso wa simu yako.na nenda setting about. Phone.angalia base kama ziko sawa au sio sawa.fanya screenshot. Nitumie 0754 60 45 67.tuma hiyo image
 
Hiyo simu akuna hizo display. Boss wangu.labda uagize hongkong
 
Angalia *#06#..kama inayo hizo namba za utambuliso wa simu yako.na nenda setting about. Phone.angalia base kama ziko sawa au sio sawa.fanya screenshot. Nitumie 0754 60 45 67.tuma hiyo image

boss j1 imekufa spika ya nyuma je itapatikana??.
 
Note 3 yangu imekufa kioo, vp naweza kupata kwa bei gani?
 
Mkuu, nahitaji kioo cha Tecno phone pad 3.
 
Back
Top Bottom