tawa driller
JF-Expert Member
- Dec 11, 2015
- 296
- 152
Elfu sitini kwa mita moja mkuuWe jamaa ni elfu sitini (60) kwa kisima mpaka maji yapatikane bila kujali urefu? Au ni bei ya mita meta moja. Fafanua vizur hapo
Kwa mita moja mkuuKisima Elfu 60?
Hii mashine ndio uliosema ni mpya??Elfu sitini kwa mita moja mkuu
Kama tumefanya survey sisi inatubidi tuwe responsible kwa hilo na gharama zitakuwa za kwetuHii mashine ndio uliosema ni mpya??
Pili ukiwa unafanya C&P jribu kuedit kwanza kabla ya kupost,
Na tatu mkinifanyia survey mkasema maji yapo kisha msiyakute gharama za kuchimba zitakua za nani?
Karibu mkuuHaya tutafanyia kazi.
Huwezi pata maji kwa mwaka mzima ila tutakupatia maji kwa muda mrefu zaidi,kuna maeneo unaweza pata maji zaidi ya mita 70 mkuuKwa uzoefu wako Maeneo ya Pwani kama Mlandiz ili upate maji yasiyokatika kwa mwaka mzima, unatakiwa uchimbe mita ngapi
Yap inawezekana mkuuJe naweza kupata maji matamu ambayo hayana chumvi hata kidogo?
Mbagala ni mita 60 to 70 na miamba ipo lakini ni soft tu siyo strongKwa maeneo ya mbagala inaweza kuwa kiasi gan kwa uzoefu wako........je kunamiamba au la na kama ipo inakuwa na umbal gan
Kwa uzoefu wako Mkuranga mpaka kupata maji ni umbali gani?? na Yanakua maji ya aina gani??Mbagala ni mita 60 to 70 na miamba ipo lakini ni soft tu siyo strong
Mkuranga baadhi ya maeneo maji yapo mpaka mita 100 mkuuKwa uzoefu wako Mkuranga mpaka kupata maji ni umbali gani?? na Yanakua maji ya aina gani??
Dah,Mkuranga baadhi ya maeneo maji yapo mpaka mita 100 mkuu
Sent from my R1+ using JamiiForums mobile app