tawa driller
JF-Expert Member
- Dec 11, 2015
- 296
- 152
- Thread starter
- #21
Bei ni Millioni sita na nusu tunakuchimbia na kukufungia pampu kwa gharama yetu, millioni nane tuna kuchimbia tunakuwekea pampu,tunakupa na tanki la maji,tuna kufanyia water test maabara kwa hiyo unaweza ukachagua mwenyewe tu mkuuDah,
Kwa iyo mita 100 ndio bei gani?